Zama za visa na visasi, kukomoana Mwanzo mwisho.

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
1.Mikopo ya wanafunzi--Kukomoana

2.Kupandisha madaraja ya ufaulu ghafla--Kukomoana.

3.Wenye degree lazina form 6-- kukomoana.

4.Kunyang'anya watu mashamba yao--kukomoana.

5.Kuwekwa polisi kwa kuhoji Jambo tu--Kukomoana.

6.Kuzuia miradi inayoanzishwa na wapinzani---kukomoana.

7.Kumfukuza mtu kazi bila kumsikiliza au bila kufuata sheria--Kukomoana.

Yaani ni kukomoana tu Mwanzo mwisho.


Basi itoshe kwa kusema Mungu hapendi kabisa haya mambo, Leo kwa mwenzio kesho kwako.HAYA YOTE YANA MWISHO.
 
Mabadiliko yanapokuja kwa ghafla unaweza kusema umekomolewa, lakini baada ya muda utazoea kama 2 na 3
1, 4 na 7 serikali ifanye marekebisho, tunaumia na tutaumia sote.
 
Mtu yoyote mwenye kisasi huwa na tatizo kubwa lakisaikolojia maana ha let baadhi ya vtu viende ka vilivo,na kamwe lolote alifanyalo huwa halifanikiwi maana hata maandiko yanasema tusifanye visasi maana kufanya kisasi ni sawa na kumfanyia Mungu mwenyewe na humrudia mhusika. Kiongozi mwenye kisasi ni tatizo kubwa kuliko hata huo umaskini wa fikra.
 
SISI AMBAO SYO WANA LUMUMBA INBDI TUISHI KWA UMAKINI N'A KIMAGUTU....TUSIJE TUKAKOMOLEWA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE

OVA
 
narudia tena
7. kumfukuza mtu kazi bila kumpa nafasi aseme neno.....KUKOMOANA
additionally:
*kumweka mtaani mhitimu anayestahili kuajiriwa~~~>KUKOMOANA
*kumdai mkopo mhitimu ambaye hana ajira na kapigwa danadana za kutosha~~~>KUKOMOANA
*kubana hela mtaani na kukamua kodi kwa nguvu kwa small enterprise[wauza nyanya]~~~>KUKOMOANA
 
Kushindwa kudiri na Lugumi na pesa za escrow IPTL nikukomoana alafu unadiri na wanafunzi ambao wamemaliza chuo hawana kazi unataka waludisheje huo ni uzuzu kama wewe ni mbabe mvae Lugumi
 
Back
Top Bottom