Zama za Serikali kuogopa watu zimeisha

koyola

JF-Expert Member
May 20, 2015
2,645
1,748
Miaka 5 iliyopita tuliona watu hasa watendaji waikiogopwa na serikali lakini miezi 3 hii tuanza kuona watu au watendaji wakiiogopa serikali kwa hivi bado tuatashuhudia watu wengi wakisimamiashwa katika utendaji kwa kuboronga na kufikishwa mahakamani kwa ufisadi hivi tunaona serikali hii imerudi katika mfumo wa kutawala sio kutawaliwa tumpongeze JPM kwa ku like.
 
Mwanzisha uzi umenikumbusha maneno ya ex IGP Mwema, "mafisadi ni watu hatari sana, wanaweza kuilipua nchi...." hivi sasa majizi yote tumbo joto
 
katika idara nyingi za serikali heshima ya mwananchi imeanza kurudi. watendaji wanaonekana kuwa na adabu. ila idara ya mahakama za mwanzo bado kabisa. watumishi wa mahakama za mwanzo wanaishi kama walivyokuwa wakiishi awamu ya nne. sijui mhe. mwakyembe anafanya nini. mwakyembe wake up, huna misuli?
 
Ili kuendelea tunahitaji vitu vine 1 2 3, uongozi bora. Kweli kabisa!
 
katika idara nyingi za serikali heshima ya mwananchi imeanza kurudi. watendaji wanaonekana kuwa na adabu. ila idara ya mahakama za mwanzo bado kabisa. watumishi wa mahakama za mwanzo wanaishi kama walivyokuwa wakiishi awamu ya nne. sijui mhe. mwakyembe anafanya nini. mwakyembe wake up, huna misuli?
Hilo la mahakama ni jibu kubwa kuliko sio mahakama ya mwanzo pekee karibu mahakama zote hasa hii idara ya sheria hawa mawakili
 
Hapana hakuwa dhaifu sema aliamini zaidi kuwa kila mmoja anaweza kutimiza wajibu wake bila kusimamiwa

Mbona inasemekana eti.....
Haya anayo yaibua Pombe JM, ni maozo alio yakua kwenye ma/faili mara tu alipoingia pale magogoni:confused:
Inasemekana eti....
Raisi wa awamu ya 5, alikuta madudu kedekede na majipu kwa wingi kwenye mafaili ya waiti hausi;)
 
Back
Top Bottom