Zama za Mawaziri na ma-DED kujipatia "Ukwasi wa bure" ni zilipendwa

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
680
1,338
Awamu ya Pili ya Tatu na ya nne ilikuwa ukichaguliwa kuwa Waziri au Mkurugenzi wa Taasisi au Halmashauri basi ulikuwa (UMEUCHINJA).

Awamu hii ya tano chini ya Amiri Jeshi Mkuu Dr John Magufuli Uteuzi wowote jua Kwamba kipambaumbele chako ni kwenda kuwatumikia Watanzania na si vinginevyo.

Hongera sana Mh Rais Magufuli kwa kutuondelea hii kadhia ambayo ilikuwa ni cancer kwenye Taifa na kufikia kuwa kila kitu ni "Business as usual".

Hii tumbua tumbua ipo siku Viongozi wote wataelewa Uongozi ni dhamana kubwa unayoaminiwa na Taifa kwaajili ya kutumika na sio kwenda kujipatia "UKWASI".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile kauli ya "kijana unanijua kuwa Mimi Ni Nani". Siisikii Tena tangu kuanza kwa Awamu hii ya tano.
Badala yake waliokuwa wanasema hivo siku hizi nawaona ndo wanazimia mbele ya mawaziri na kujikanyagakanyaga wanapohojiwa utafikiri kichwani hamna kitu. Daah maisha Ni safari ndefu Sana.
 
Bashiru alisema kuabudu mtu ni ushirikina. CCM ni washirikina.
Nina watu wangu wawili wa karibu sana sana ambao ni ma DED. Ukwasi wao kwa kipindi wameteuliwa unatisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mubashara mkuu.
tapatalk_1577999380187.jpeg

dodge
 
DED analipwa mshahara wa LSS uliza LSS NI being gani

Pia hakuna malipo yanayolipwa HALMASHAURI bila DED kulipwa namba 1 iwe mtihani iwe chochote Tena kwa ile miradi ya mashirika posho zao huwa zinazidi 120000 kwa siku mawaziri ndio sjui ila Kuna jamaa angu mmoja alikua mtumishi ofisi moja hapo posta saivi ni naibu waziri wa wizara moja maarufu saivi yupo njema si haba

DED hapitishi malipo yoyote ya posho kama jina lake sio no. 1, na Wakuu wa Idara wanalijua hilo na wanaitumia fursa hiyo ya kumlipa DED na wao pia kupata chochote kitu
 
Awamu ya Pili ya Tatu na ya nne ilikuwa ukichaguliwa kuwa Waziri au Mkurugenzi wa Taasisi au Halmashauri basi ulikuwa (UMEUCHINJA).

Awamu hii ya tano chini ya Amiri Jeshi Mkuu Dr John Magufuli Uteuzi wowote jua Kwamba kipambaumbele chako ni kwenda kuwatumikia Watanzania na si vinginevyo.

Hongera sana Mh Rais Magufuli kwa kutuondelea hii kadhia ambayo ilikuwa ni cancer kwenye Taifa na kufikia kuwa kila kitu ni "Business as usual".

Hii tumbua tumbua ipo siku Viongozi wote wataelewa Uongozi ni dhamana kubwa unayoaminiwa na Taifa kwaajili ya kutumika na sio kwenda kujipatia "UKWASI".

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii unasemaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom