Zakaria: Africa's biggest success story

Koba

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
6,132
1,346
Zakaria: Africa's biggest success story

NEW YORK (CNN)
-- President Obama reached out to Africa earlier this week with a wide-ranging address praising the continent's steady achievements, but he called its persistent violent conflicts "a millstone around Africa's neck."

"Despite the progress that has been made -- and there has been considerable progress in parts of Africa -- we also know that much of that promise has yet to be fulfilled," Obama said in a speech to the Parliament of Ghana, a western African nation seen as a model of democracy and growth for the rest of the continent.

Ghana, with a population of 24 million, was once a major slave trading center. Obama visited the Cape Coast Castle, a British outpost where slaves were held until shipped overseas, along with his daughters.

CNN spoke to author and foreign affairs analyst Fareed Zakaria about Obama's trip and the status of Africa.

CNN: "When President Obama was in Africa last week, he visited Ghana, but you think there's another country that's a bigger and better success story?"

Fareed Zakaria: He was smart to focus on a success story, of sorts, like Ghana. But I would say the biggest success story out of the continent is Rwanda.

You remember what happened in there just 15 years ago -- over a period of 100 days 800,000 men, women, and children were killed -- most of them slaughtered with knives, machetes, and axes by their neighbors. It is perhaps the most brutal genocide in modern history.
By the time it ended, one tenth of the country's population was dead. Most people assumed that Rwanda was broken and, like Somalia, another country wracked by violence, would become a poster child for Africa's failed states. It's now a poster child for success.

CNN: Meaning what?

Zakaria: Well, the country has achieved stability, economic growth, and international integration. Average incomes have tripled; the health care system is good enough that the Gates Foundation cites them as a model, education levels are rising.

The government is widely seen as one of the more efficient and honest ones in Africa. Fortune magazine published an article recently titled "Why CEOs Love Rwanda."

CNN: Why has Rwanda succeeded when so many other African countries have failed?

Zakaria: Much of it has to do with its president. President Kagame was the leader of the forces that came in and ended the genocide. He has led the country since then and implemented some controversial programs to help build stability in the country following the horrific events of 1994.

He had to find a way to reintegrate the perpetrators of the brutal genocide into their original homes, often living next door to their previous victims.

Rwanda is very unique in its post-conflict makeup. As the New Yorker writer, Phillip Gourevitch, points out, in Germany, the Jews left for America and Israel. In the Balkans the warring groups spilt up geographically. In Cambodia, the class that perpetrated the violence was easily identifiable and separated. In Rwanda, however, the killers and the victims live side-by-side, in every village and community. Can you imagine Nazis and Jews living next door to one another?

CNN: So what did President Kagame do?

Zakraia: The only way President Kagame could see to make peace was to reintegrate these communities. He came up with a specially crafted solution -- using local courts called Gacacas.

In each village, the killers stood before their neighbors and confessed, and in turn were offered forgiveness -- part court, and part community council. It has made for a fascinating historical experiment that seems to be working.

CNN: Can it really be working? How can killers be allowed to roam around the country free from prosecution? It doesn't seem fair.

Zakaria: We have President Kagame on the show this week and I asked him that very question. It is obvious he has thought deeply on the issue and couldn't come up with any other option. As he states, "If we incarcerated everyone who committed a crime we wouldn't have a country."

"There are many killers; there are hundreds of thousands because the genocide that took place in our country involved a huge percentage of our population, both in terms of those who were killed and those who killed. And if you went technically to try each one of them as the law may suggest, then you would lose out on rebuilding a nation."

CNN: But is the fact they've emerged from the genocide with some political stability enough to call the country a success?

Zakaria: It might be fragile. Beneath the veneer of reconciliation, there might well be much hatred. And it might be that Kagame is holding it all together because of his personality and toughness -- perhaps like Tito in Yugoslavia. But he says his goal is to build institutions and have this process outlive him.
 
Im watching Paul Kagame and Fareed Zakaria, Kagame is doing Africa proud on GPS.

Go Kagame!!!
 
Pamoja na mambo mengine lakini ni lazima Waafrika tujivunie Pres.Kagame...Ni mtu anayezungumza mawazo yake bila Uoga....Mimi binafsi ni mpenzi Mkubwa wa Dr Zakaria,lakini nae anaiwakilisha State Department katika kuuliza maswali ambayo mara nyingine yanawaweka viongozi katika wakati mgumu.(Dr.Zakaria licha ya Uandishi wa habari ni mhadhiri na mshauri wa State Department kuhusu siasa za Us Nchi za nje)

US haina raha kuona Rwanda na Nchi nyingi za kiafrika zikiwa na uhusiano Mkubwa na China...Kitendo cha China kujenga Wizara ya Mambo ya Nje Kigali...kimewafanya Wamarekani wawe na wasiwasi kwamba China itaingiza policies zake katika serikali za Kiafrika.....Pres kagame kawaambia wazi westeners kwamba hakuna Nchi itakayopanga mambo ya Ndani ya Rwanda...Na Rwanda inajiandaa kuwa Nchi ya kwanza kutokupokea Misaada ya moja kwa moja ya kiserikali kwa ajili ya kuendesha mambo ya ndani ya serikali ya Rwanda...Anawaambia Westeners "Tukae kwenye Meza Tujadiliane Kibiashara na sio kutupa Misaada kama watoto na kutupangia namna ya kuitumia".

Pres.Kagame kasema kuwa anaheshimu Katiba ya Rwanda..na hategemei kugombea tena Urais mwaka 2010 wakati kipindi chake hichi cha pili kinapokwisha.....Maneno kuhusu misaada ya serikali kwa serikali aliyoyazungumza Rais Kagame yanafanana kwa kiwango kikubwa na maelezo aliyoyatoa kwa Dr.Moyo kwenye mazungumzo na Mwanauchumi huyo yaliyofanyika Kigali 1/April/2009......Katika Mahojiano na mihadhara Mingi, Dr.Moyo anamtaja Kagame kama ndio Kiongozi mwenye Mtazamo mzuri kwa masuala ya Uchumi na Uongozi unaowajibika katika Africa.Dr. Moyo ni Mtunzi wa Kitabu "Dead Aid".
 
Nimeangalia mahojiano ya Kagame na Messr. Zakaria, kwa kweli huyu Jamaa Paul anawakilisha progressive Africa..yaani he knows what he is doing with the presidency. To me..mtu kama huyu hata akiendelea kukaa madarakani (which isnt good anyway)...lakini Its better for his people. Anajua anafanya nini...

Alinifurahisha alivyoongelea swala la Darfur...na alipoulizwa kwamba alipata kura nyingi 95%..akamwambia Zakaria..mbona huko nyuma...Chirac wa Ufaransa alipata 88%? na kwa nini iwe strange kwa Afrika kiongozi kupata kura nyingi lakini kwa ulaya..isiwe strange?

Kuhusu China..he was incredibly right...hata US na Europe wanakimbilia kufanya biashara na China..sasa kwa nini...waafrika wakifanya hivyo..wanaonekana kama hawana walijualo!

Kuhusu China kuwasaidia..anasema he welcomes their help..if China will control their foreign policy? Anasema wajinga watakuwa Rwanda watakaoruhusu China kufanya hivyo (kuwacontrol)

In all, the interview was splendid!

Mr. Kagame, I wish you all the best in steering your country to a better future.

Wacha wale watakaoendelea kukupigia kelele za human rights na democracy..wewe piga hatua mbele..
 
Kwa Kweli wakuu niliridhika na Interview ya Kagame...He was candid and said it like it was...
MwanaFalsa? where are you i want to hear your take on this?!!
 
Zakaria is right, Rwanda ni success story ya kujivunia Afrika kiuchumi na kiutawala, lakini nadhani kuwa theme ya Obama ilikuwa ni uheshimu wa demokrasi na kuwa na tabia ya watu kuachiana madaraka kama ambavyo Ghana ilivyofanikiwa; na kwa hilo sina uhakika kama kweli Rwanda imefanikiwa kwa sijasikia popote kuonyesha kuwa Kagame kajenga mfumo wa utawala wa kidemokrasi.
 
Pamoja na mambo mengine lakini ni lazima Waafrika tujivunie Pres.Kagame...Ni mtu anayezungumza mawazo yake bila Uoga....

Binafsi naona tabia ya kusema mawazo bila uoga ni kigezo kikubwa cha viongozi wanaofanya vizuri katika kuongoza maana hakutakuwa na element za unafiki ndani yake

US haina raha kuona Rwanda na Nchi nyingi za kiafrika zikiwa na uhusiano Mkubwa na China

Kwa bahati mbaya sisi hatuoni matatizo ya kuvaana na USA na westeners.They are not trusted partners. They value us as long as they get some benefits or milking us


...
Kitendo cha China kujenga Wizara ya Mambo ya Nje Kigali...kimewafanya Wamarekani wawe na wasiwasi kwamba China itaingiza policies zake katika serikali za Kiafrika.....Pres kagame kawaambia wazi westeners kwamba hakuna Nchi itakayopanga mambo ya Ndani ya Rwanda...Na Rwanda inajiandaa kuwa Nchi ya kwanza kutokupokea Misaada ya moja kwa moja ya kiserikali kwa ajili ya kuendesha mambo ya ndani ya serikali ya Rwanda.
Kujitegemea ndio dawa ya matatizo yetu na sio kuzunguka dunia nzima tukiomba kama watoto yatima. Hapa tunajivunjia heshima. Pengine Tuanza kujifunza sasa kama inawezekana kujikomboa bila kuomba omba. ..Anawaambia Westeners "T

Pres.Kagame kasema kuwa anaheshimu Katiba ya Rwanda..na hategemei kugombea tena Urais mwaka 2010 wakati kipindi chake hichi cha pili kinapokwisha.....
Kagame ni mfano mzuri wa kuwa mambo mazuri hayataki haraka.Yanataka kusimamia yale tunayoyataka bila woga wala ubabaishaji. Miaka michache iliyopita alionekana kama angekuwa failure kwasababu ya kukataa kuwatumikia western countries. Story leo ni tofauti na hili ninamuheshimu sana Kagame.
 
Kagame alishawahi kusema Demokrasia ni process. Alitoa mfano wa Marekani kuanzia wakati ilipopata Uhuru, ni miaka mingapi ilichukua mpaka weusi wakaruhusiwa kupiga kura, ni miaka mingapi imechukua wanawake kupiga kura, ni miaka mingapi ilichukuwa wanawake kuwa na vyeo vikubwa serikalini, n.k. Hivyo akasema Demokrasia level ya Rwanda inapangwa na Wanyarwanda wenyewe na sio kupangiwa na mtu yeyote. Wao ndiyo wanaifahamu Rwanda na wanajua wajipe demokrasia kiasi gani.

Mtoto anavyokuwa ijapokuwa ni wako lakini huwezi kuruhusu awe exposed na kila kitu lazima uende polepole la sivyo atakuwa limbukeni na mtoto atakuwa si mtoto tena. Namheshimu Kagame kwa system ambayo anajitahidi kuiwekea Rwanda. Kagame is not trying to be a strong leader but is trying to have a strong Rwandan institution which will take Rwanda to next level.

Rwanda is among the countries with very clean towns and also with very low corruption level. Hii ni kutokana kuwa na committed leadership. Naamini Kagame hahitaji kubadilisha katiba kuwa madarakani milele na aliyoanzisha atakayefuata ataendeleza kwani ni nia ya Wanyarwanda kusonga mbele na siyo nia ya mtu mmoja.

VIVA RWANDA, VIFA EAST AFRICA, VIVA AFRICA
 
..akiondoka kwenye uongozi apelekwe The Hague akajibu mashtaka ya mauaji ya Congo na uporaji wa madini na rasilimali nyingine.

NB:

..kwanini Fareed hakumuuliza Kagame mahali alipomficha General Nkunda?
 
Last edited:
Pia niliona na kumsikiliza kwa makini Kagame kwenye hiyo interview.
Apart from the current president of Botswana, no current african president can articulate and defend African dignity like how kagame did. Mandela and Musa (A.K.A Mchonga, Mwalimu, Baba wa Taifa) did, but they are ex-presidents now.

Now having said that, and take into consideration I know very little of Rwanda's institutional buildup and it's constitution, I will have to say that all what he said will be just another bullshit if he seeks to extend his term beyond what he is constitutionally allowed. He said he will not seek to extend, so I keep my fingers crossed.

In 1996 (or 1998) there was a great article on The Wall Street Journal on successive stories in Africa, with Uganda's Museveni taking the high praises! Look what happened there :confused:.

The rule of law must also be respected and enforced. I hope he has/is building the necessary institutions to sustain what he has been working on, and not try to leave puppets, or worse - change the constitution to favor his stay in power.

My 0.2 shilingis
 
Angalau ametutoa kimasomaso!

Huwa namfananisha Kagame na Mkapa ktk kujiamini wakati anajibu maswali na kukata issue!
 
Back
Top Bottom