Zainab Abdalah, shemeji wa Haji Manara na mkuu wa wilaya ya Pangani kumbe ni mke wa Waziri wa Maji?

Enzi hizo lakin, sio enzi wanaozungumzia hawa jamaa. Mke wa Kwayu alikua na duka pale getini.

Kuna jamaa nje ya fence alikua akiuza juice tunamuita Mkemia.
Kuna jamaa kule nyuma alikuwa anauza mihogo kama sikosei alikuwa anaitwa Hoseni......
 
Jamaa nasikia anakula tu..mpaka yule jamaa alikuaga azam akashindwana nae..maana ndio alikuaga mke wnadhani nowdays kateuliwa zenji huko.
 
Back
Top Bottom