Zainab Abdalah, shemeji wa Haji Manara na mkuu wa wilaya ya Pangani kumbe ni mke wa Waziri wa Maji?

Nilipoingia Azania 2009 alikua msaidizi wa chavila baada ya miezi kadhaa chavila akaondoka akakaimu,,,baadae akawa mkuu kamili akaanza unoko na kuharibu kabisa ile test ya Azaboi
Usipochomekea tafuta njia ya kupita msikutane
 
Nouma Sana .... Mbona mshikaj wake wa Kwanza naskia ni member wa CRDB commetee au tumepigwa kamba
Soma hapo
20210226_060440.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20210226-060200_Instagram.jpg
    Screenshot_20210226-060200_Instagram.jpg
    98.5 KB · Views: 7
Hahahaaa!! Ngozye umenikumbusha mbali sana.....kabla hajawa Headmaster alikuwa anafundisha somo la CIVICS those days........Such a charming man.....

Mchwa mpaka.....

Azania for life.......
Nilizan mnazungumzia enzi za Andrew Kwayu, kumbe juzi juzi tu.

"In the heaven of peace, Azania stand at ease, forever, together, we always say, You are known far and wide, you are always our guide, we will never forget you"
 
Nilipoingia Azania 2009 alikua msaidizi wa chavila baada ya miezi kadhaa chavila akaondoka akakaimu,,,baadae akawa mkuu kamili akaanza unoko na kuharibu kabisa ile test ya Azaboi

Nilizan mnazungumzia enzi za Andrew Kwayu, kumbe juzi juzi tu.

"In the heaven of peace, Azania stand at ease, forever, together, we always say, You are known far and wide, you are always our guide, we will never forget you"

Alikuwa mwalimu wa Fine arts pia, alikuwa anafundisha kuchora, ofisi yake ilikuwa floor ya juu karibia na fish pond
Hakika nyie ni wana Azania.....Wakati huo mwalimu mkuu ni Kwayu.....
 
Azania iko moyoni mwangu nina amini nitarudi pale siku moja kwa njia nyingine...alipokua Ngozye akaiharibu akaanza ruhusu vilaza waingie kwa uchu wa fedha shule ikaharibika miongoni mwa watu ninaowakumbuka now amekua maarufu nilisoma nae class moja japo hatukua washikaji ni Hemedi Chande mchizi alihamia Azania tukiwa fomr 2 H pale..
Hakika nyie ni wana Azania.....Wakati huo mwalimu mkuu ni Kwayu.....
 
Yeap nilipofika form 2 tukawa na ukaribu nae,,,japo haukua mkubwa kivile
kuna yule mwalimu alikuwa ofisi ya usajili alikuwa hacheki na mtu kabisa, ofisi yake ilikuwa nyuma ya Assembly ! Jina lake nimelisahau
 
Back
Top Bottom