Zain yampa Range Rover mteja wake

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="606">
</td> <td align="right" width="139">
</td> <td align="right" width="12">
</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">
pix.gif
</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">KAMPUNI ya simu za mkononi ya Zain leo imechezesha droo ya 50 katika Bahati Nasibu yake ya ‘Ongea Uzawadiwe’ kwenye kampuni ya kuuza magari ya CMC Land Rover jijini Dar es Salaam ambapo Mkuu wa Kitengo cha Kompyuta (IT) Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) Bw. John Cassian Shayo, aliibuka na gari aina ya Range Rover Sports yenye thamani ya sh. milioni 200.

<!--ThumbBegin-->
1267704800_1.jpg
<!--ThumbEnd-->
Hili ndilo gari alilojishindia Bw. Shayo.

<!--ThumbBegin-->
1267704800_2.jpg
<!--ThumbEnd-->
Mkurugenzi Mkuu wa CMC, Land Rover, Bw. Anthony Haji akielezea faida ya umuhimu wa kutumia gari hilo la kifahari. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Zain, Muganyizi Mutta.

<!--ThumbBegin-->
1267704800_3.jpg
<!--ThumbEnd-->
Mwandishi wa habari, Cecy Jeremiah, (wa pili kulia) akibonyeza kitufe ili kupata namba ya mshindi wa droo hiyo. Kulia ni mkaguzi wa Bahati Nasibu, Bakari Maggid. Wa pili kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa Zain, Kelvin Twissa, na kushoto ni Meneja Uhusiano za Zain, Muganyizi Mutta.

<!--ThumbBegin-->
1267704800_4.jpg
<!--ThumbEnd-->
Afisa Habari wa Zain, Leticia Kaijage, akichukua maelezo wakati droo hiyo ikichezeshwa.

<!--ThumbBegin-->
1267704800_5.jpg
<!--ThumbEnd-->
Afisa wa Zain, Caroline Kikwezi, akitoa ufafanuzi wa jinsi ya kutumia huduma ya REWARDZ ambayo mteja aliyejiunga na huduma hii hupata punguzo anapokwenda kupata huduma kwa mawakala kama vile Hoteli ya Movenpick ambao ni moja kati ya mawakala wao.​

</td></tr></tbody></table>
 
hivi haya magari ya promotion unaruhusiwa kuuza?maanake ukizawadiwa hio 4.4 supercharge v8 unaweza kuzawadiwa matatizo.
 
I think huwa wanatoa kiwese cha angalau muda fulani maalum kama wanataka jina la Zain litembezwe otherwise mtu unaweza kuliuza tu ukacheki utaratibu mwingine
 
Bora waruhusu mtu kuchagua cash kama altenative!
Wese lenyewe la kuitoa gari hiyo Dar kwenda huko Arusha kwa mwenye nalo ni ishu!
Lakini bahati nzuri huyo aliyelipata ni mtu wa magari pia!
Angekuwa Kayumba wa magari ingebidi auze ng'ombe wa ukoo wao apate hela ya wese!
 
Juzi ni kama nilisikia tangazo la Zain la kujishindia gari linasema droo.imesogezwa hadi tarehe 3 April, wakati tarehe hiyo ilishapita. Je maana yake nini- ni utapeli au ni kukosa umakini
 
juzi ni kama nilisikia tangazo la zain la kujishindia gari linasema droo.imesogezwa hadi tarehe 3 april, wakati tarehe hiyo ilishapita. Je maana yake nini- ni utapeli au ni kukosa umakini



what???????????? Day dreamer tarehe imepita
 
Juzi ni kama nilisikia tangazo la Zain la kujishindia gari linasema droo.imesogezwa hadi tarehe 3 April, wakati tarehe hiyo ilishapita. Je maana yake nini- ni utapeli au ni kukosa umakini

...mkuu, unatumia kalenda za 'kirumi' kama sie?
 
hivi kuna ubaya gani wangetoa gari za bei ndogo hili wapewe watu wengi zaidi hizo zawadi za gari?

upo sahihi kabisa, hata wangetoa pikipiki katika 200m wangepata si chini ya watu 70, mimi huwa siamini haya mambo nadhani ni mambo yanakuwa yamepangwa zinazunguka humohumo, sijui ni mawazo yangu
 
Back
Top Bottom