modem yao hai chakachuliki. haikubali kutumia line zote. ile kama vipi ni PM nikupe njia mbadala......
2500? Heee! Hizo mb400 kwa mwezi si kwa ajili ya mobile? Wabongo wanachakachua ehh? Acha wakukomeshe. Mimi nachukua bundle ya mwezi ya PC na hawanisumbui kwa kuwa bundle ya mobile natumia kwenye mobile, ya PC natumia kwenye PC.<b>nilikuwa naweke kifurushi cha 2500 kinaliwa nikaamia kifurushi cha 15000 kwa wiki napo wanakula kila nikiweka sasa sijui tatizo nini</b>