Zain wananiibia bundle zangu za internet je ninawezaje kubadili moderm itumie line zote?

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
280
wakuu zain wananiibia bundle kila nikijiunga muda si mrefu wanakata zote . je nitawezaje kubadili modem yao model ya huwawei E1550 iweze kutumia line zozote ata tigo na voda?
 
Duh unaweka kifurushi gani mkuu na inakuwaje? maana hili ndio kimbilio la wanyange kwa sasa
Mara yamwisho nilisikia Modem zao hazichakachuliki
 
nilikuwa naweke kifurushi cha 2500 kinaliwa nikaamia kifurushi cha 15000 kwa wiki napo wanakula kila nikiweka sasa sijui tatizo nini
 
mkuu nadhani ungeweka vizuri tread yako...wanakuibia...unauhakika? na ulishawahi kuwasiliana nao kujua tatiz ni nini?...au unataka tu kuchakachua modem?? mi siwatetei zain na wala sijawahi tumia zain kwa namna yoyte ila nadhani ni vyema uwe muwazi ukizingatia kila mtandao unamapungufu yake kwenye swala la internet...na isitoshe inategemea na wewe unafanyia matumizi gani hizo bundle...manake unaweza kuwa unanunua mb250 afu unadownload muvies..mi nakushauri, ungeelezea vizuri matumizi yako ya internet na huwa unanunua bundle zipi na zinakaa muda gani! kukuelezea jinsi ya kuchakachua sio tatizo na unaweza ukachakachua na bado ukawa unaona unaibiwa vilevile...!!
ila kwa msaada tu..kama kweli unataka kuchakachua hiyo modem basi check hapa How to unlock the Huawei E1550 3G Modem kama hutaelewa tuma ile IMEI no. yake!
 
sio kwamba wanakuibia, Spidi ya kwa sasa ni kubwa hivyo kama comp ina soft yeyote inayadownload in background make sure unaistop.
 
modem yao hai chakachuliki. haikubali kutumia line zote. ile kama vipi ni PM nikupe njia mbadala......
 
modem yao hai chakachuliki. haikubali kutumia line zote. ile kama vipi ni PM nikupe njia mbadala......

mkuu mi natumia sasatel, vipi inakubali utaratibu huo? kama ni hivyo basi naomba msaada unielekeze step by step. asante
 
hebu weka bundle ya 400mb kwa 2500 na ndo nayotumia kwa matumizi ya kawaida tu hadi wiki mkuu
 
Yah ni kwl kabisa kama wadau walivyosema apo juu.. airtel ndo kimbilio ya wanyonge coz rate zao ndo zko chini kuliko mitandao mingine yote

kama ya 450mb for 2500... na kama uliyosema wanakuibia.. mie napinga hlo japo linawezekana lakini pia hamna mtandao ambao wako very precise

na ulaji wa bundle yake mie nimetumia mara nyingi iyo bundle ya 450 mb na kila byte inalika exactly kama ninavyotumia... sasa coz itakuwa

vyingine kama bundle yako inalika tofauti na inavyotakiwa... and about unlocking it depends kama ni customized firmware or not kama ni

customized firmware then it can only be unlocked temporarily yani unaweka line ya mtandao mwingine na una unlock lakini ita unlock na utaweza

kutumia as long as hauchomoi modem ukichomoa na kuchomeka tena inajilock... if not customized then iyo link aliyotoa mkuu sijui nini..

itakufanikishia kabisa bila shida yoyote.
 
huyo jamaa ana application ambazo ni auto startup akiwasha kompyuta zinakua zina run underground afu anasema anaibiwa...wabongo bwana,any way pole samaki
 
vp na hz modem za ttcl.siwaelewi
Wao kwa saa ni 1000,kuanzia saa 6.00am to 6.00pm,
Then ni tsh 800 per hour,kuanzia
6pm to 9pm.
Tsh 500 per hour,9pm to 6am.
Hapo napo vp?
 
<b>nilikuwa naweke kifurushi cha 2500 kinaliwa nikaamia kifurushi cha 15000 kwa wiki napo wanakula kila nikiweka sasa sijui tatizo nini</b>
2500? Heee! Hizo mb400 kwa mwezi si kwa ajili ya mobile? Wabongo wanachakachua ehh? Acha wakukomeshe. Mimi nachukua bundle ya mwezi ya PC na hawanisumbui kwa kuwa bundle ya mobile natumia kwenye mobile, ya PC natumia kwenye PC.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom