Zaidi ya wanachama wa CHADEMA 5000 wajiunga na CCM Bukoba

Katika mikutano yake ya kampeni, Mgombea urais kupitia CCM Bw.JOHN POMBE MAGUFULI amekuwa akiitendea haki mikutano hiyo kwa kunadi sera zake vizuri,kuelezea mikakati na namna atakavyoiendesha serikali yake,mgombea huyo akiwa mkoa wa Kagera amezidi kuonyesha dira kwa watanzania juu ya kuwa kiongozi mzuri kwa taifa la Tanzani.

Katika mikutano yake, zaidi ya wanachama elfu tano kutoka chadema wamerudisha kadi zao na kujiunga na CCM.


Hivi mumeshindwa hata kutengeneza kapicha kadogo? Mutakosa kazi nyote nyie baada ya oktoba 25 2015.
 
Je umewahi kuona mkutano wa Kampeni tokea unaanza mpaka unamalizika bila kumtaja Edward Ngoyai Lowassa?..Kama upo utaje,kama haupo basi ujue Lowassa amewashika vibaya.
 
Back
Top Bottom