Zaidi ya vijana 100 watekwa nyara katika mashambulizi Msumbiji

Hao jamaa usiwaguse kabisa wanyaRwanda ni jeshi lililosaidia Msumbiji kwa kiwango kikubwa sana huko walikokimbilia ni mbali mno na waliko jeshi la Rwanda na ndio maana wameweza kukamilisha hiyo ambush
Mkuu kwani tuliambiwa wamewamaliza au wamewakimbiza?
 
Mkuu kwani tuliambiwa wamewamaliza au wamewakimbiza?
Achana na matango pori ya mtaani hizo ni za kuzushwa tu hakuna chanzo cha Habari chochote kilichosema hayo kilichopo ni kwamba kabla ya ujio wa wanyaRwanda Shababy waliweza kuteka hadi wilaya za Msumbiji na vijiji vikubwa ila jamaa walipokiwasha miji vijiji vikubwa vyote wamevikimbia na wamesmbaratika wako vikundi vidogo sio kama mwanzo
 
Nani anawapa Silaha?? nani anawapa pesa za kuendeleza hizi operations zao??Wanapataje Silaha??- Msumbiji kutokana na ges/mafuta haya makampuni ya uwekezaji wanagombea hizi rasilimali na ndo wafadhiri wakubwa wa hawa magaidi! .Iwapo Serikali za Africa zikaungana na kuweka mikakati ya pamoja hawa magaidi awatoweza endeleza vitendo vyao hivi.
 
Back
Top Bottom