Zaidi ya Suti: WikiLeaks yafunua mgongano kati ya JK, Kapuya na Gen. Waitara...

FJM

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
8,081
6,198
1. (S) SUMMARY. As suspected, the Kikwete administration is facing civilian-military tensions: Tanzania's Chief of Defence Forces (CDF) is hindering the President and Minister of Defence's decision to take the next step in the African Contingency Operations Training and Assistance (ACOTA) program. Fortunately, the CDF is due to retire July 31 and President Kikwete intends to put the program on track after his departure. On May 2, Defence Minister Juma Kapuya asked to meet with Ambassador Retzer to apologize for the delay and to assure the Ambassador that ACOTA training could begin sometime after August 1. Kapuya confided to the Ambassador that President Kikwete was "trying to avoid open confrontation and buying time."

(Note: the Minister implied that this confrontation was with the CDF and that he was waiting until the CDF retired in July.) Repeatedly confirming President Kikwete's commitment to U.S. peacekeeping training, Kapuya also sought the Ambassador's help in explaining the matter to Washington. "We don't want anything to taint the positive momentum that is building in our relationship," Kapuya stressed. The Ambassador assured the Minister that we understood the temporary obstacle President Kikwete faced and that we looked forward to
starting ACOTA training in August. END SUMMARY.

More: Cable Viewer

E C R E T DAR ES SALAAM 000660

SIPDIS

SIPDIS

DEPT FOR POLMIL JSEVOLD AND CBECK
DEPT AF/E FOR BYODER, DMALAC, EREDDICK

E.O. 12958: DECL: 05/03/2012
TAGS: PREL PGOV PARM TZ
SUBJECT: TANZANIA: START OF ACOTA TRAINING DELAYED UNTIL
AUGUST

REF: US DAO REPORTING IIR 6 959 0091 07

Classified By: Chief of Mission, Michael L. Retzer,
for reason 1.4(b and d).

1. (S) SUMMARY. As suspected, the Kikwete administration is
facing civilian-military tensions: Tanzania's Chief of
Defence Forces (CDF) is hindering the President and Minister
of Defence's decision to take the next step in the African
Contingency Operations Training and Assistance (ACOTA)
program. Fortunately, the CDF is due to retire July 31 and
President Kikwete intends to put the program on track after
his departure. On May 2, Defence Minister Juma Kapuya asked
to meet with Ambassador Retzer to apologize for the delay and
to assure the Ambassador that ACOTA training could begin
sometime after August 1. Kapuya confided to the Ambassador
that President Kikwete was "trying to avoid open
confrontation and buying time." (Note: the Minister implied
that this confrontation was with the CDF and that he was
waiting until the CDF retired in July.) Repeatedly
confirming President Kikwete's commitment to U.S.
peacekeeping training, Kapuya also sought the Ambassador's
help in explaining the matter to Washington. "We don't want
anything to taint the positive momentum that is building in
our relationship," Kapuya stressed. The Ambassador assured
the Minister that we understood the temporary obstacle
President Kikwete faced and that we looked forward to
starting ACOTA training in August. END SUMMARY.

Background: ACOTA and General Waitara
-------------------------------------
2. (S) Soon after his inauguration in December 2005,
President Kikwete expressed his desire to play a more active
role in peacekeeping operations and requested U.S. training
assistance. In 2006, Tanzania became the U.S.' newest
partner under ACOTA and in December 2006, ACOTA hosted a week
long conference with senior officials from Tanzania's Peoples
Defence Forces (TPDF) in Dar es Salaam to develop a joint
timeline and strategy for peacekeeping training.

3. (S) With a goal of training three peacekeeping
battalions by the end of FY 2008, the first round of ACOTA
training was initially scheduled to begin in March 2007.
However, in March the TPDF pushed back the start date until
April 23. In mid-April, the TPDF delayed the start of ACOTA
training once again. Following up on the status of the start
date, post's Defense Attach learned that the TPDF would not
move forward without an official go-ahead from the Chief of
Defence Forces (General Waitara). Waitara was maintaining
that a Status of Forces Agreement (SOFA) between the U.S. and
Tanzania needed to be in place before ACOTA training could
begin. Although we are currently in the initial stage of
trying to negotiate a SOFA with the Tanzanian government,
post has repeatedly made clear to the TPDF and Ministry of
Defence that a SOFA was not required to start ACOTA training.
(Note: It is important to understand that General Waitara
embodies Tanzania's old socialist guard and has a long record
of resisting closer ties with the USG in favor of China and
other socialist countries.)

4. (S) In response to postponement of the ACOTA training for
a second time, Ambassador Retzer telephoned Defence Minister
Kapuya on April 11 in Dodoma to explain that ACOTA training
had been delayed and that ACOTA could start without a SOFA in
place. The Ambassador also raised the issue in his April 20
meeting with Foreign Minister Bernard Membe (reftel), noting
that the CDF, General Waitara, was delaying ACOTA
peacekeeping training, a program the GOT itself had requested
and committed to. Through contacts at State House, Post
learned that the Minister of Defence met with both the
Foreign Minister and President Kikwete to discuss the issue.

Avoiding Confrontation
-----------------------
5. (S) On May 2, Minister Kapuya told the Ambassador, "After
you telephoned me about the TPDF delaying the ACOTA training,
I wrote a letter to our Chief of Defence Forces (General
Waitara)." Kapuya handed the Ambassador a copy of the letter

which stated President Kikwete's commitment to peacekeeping
training and urged Waitara to promptly provide a date and a
list of names so that ACOTA training could begin. Minister
Kapuya said that TPDF never provided a formal response and as
a result, he consulted with both Foreign Minister Membe and
President Kikwete on the way forward. "President Kikwete
then asked me to discuss the issue with you in person, as the
matter is too sensitive to discuss over the phone," Kapuya
said.

Buying Time Until CDF Retires
-----------------------------
6. (S) Minister Kapuya explained that President Kikwete had
already made his position clear: During the March visit of
General William Ward, Deputy Commander of U.S. European
Command, Kikwete stressed his commitment to peacekeeping
training in front of his Chief of Defence Forces. Now there
is a dilemma with the delay, Kapuya explained. "We are
trying to avoid open confrontation (with the CDF). We are
trying to buy time - two to three months - so that we avoid a
confrontation which could negatively affect the country."

ACOTA Training to Begin in August 2007
--------------------------------------
7. (S) Although never mentioning General Waitara by name,
Minister Kapuya repeated, "We are trying to explain the
situation in a manner you can understand because it is
difficult for us." He repeatedly apologized for the delay
and requested the Ambassador's assistance in explaining the
situation to Washington. "We are committed to peacekeeping
training under ACOTA and we don't want the delay to taint the
positive momentum in our relationship," Kapuya said.

8. (S) Ambassador Retzer assured Minister Kapuya that we
understood the GOT's commitment as well as the obstacle which
the President and Minister of Defence were facing.
Ambassador Retzer noted the confusion (started by General
Waitara) about a link between ACOTA and a SOFA and clarified
that a SOFA was not needed to start ACOTA training. Minister
Kapuya nodded and said, "We understand this. Everyone
understands this - that we don't need a SOFA to proceed with
ACOTA. It is safe to say we can begin ACOTA peacekeeping
training in August 2007."

USG Military Training Programs: FY 2007 and FY 2008
--------------------------------------------- ------
9. (S) Ambassador Retzer presented to Minister Kapuya the
variety of International Military Education and Training
(IMET) programs offered through the Defense Attach Office
(DAO) in FY 2007 and FY 2008, noting the significant increase
in training opportunities during FY 2008, due to the recent
waiver on IMET restrictions. DAO LTC Varhola noted that it
was important to identify potential candidates for the
available spaces at U.S. military academies and highlighted
the availability of refresher English classes for TPDF
officers prior to IMET courses.

10. (S) Minister Kapuya responded by saying, "There are all
these opportunities unfolding before us. We are all in favor
but let us wait." He added, "You've done very well by
engaging the Chief of Staff, Lieutenant General Davies A.
Mwamunyange, and you should continue to do so." Ambassador
Retzer emphasized again that we understood the President's
position and would wait for the GOT's signal to begin ACOTA
training in August.

Comment: An Easy Calculation
-----------------------------
11. (S) The Kikwete administration finds itself in a
difficult position: President Kikwete publicly committed to
peacekeeping training but is being blatantly hamstrung by his
own Chief of Defence Forces. Yet President Kikwete has made
an easy calculation, which we, in fact, agree with. The cost
of waiting 12 weeks until General Waitara retires appears a
small price to pay compared to open confrontation with
Tanzania's most senior military officer whose attitude is,
"ACOTA over my dead body." END COMMENT.
RETZER

My take:
Kwa nia njema kabisa nashauri Salva na timu yake Ikulu wavute pumzi ya nguvu (deep breath) kabla hawajatoa ufafanuzi kwenye haya madai ya Wikileaks na waepuke kutoa majibu ya jazba kama yale ya shopping za suti. Nasema hivyo kwa sababu kwa jinsi mambo yanavyozidi kufumuka kupitia Wikileaks, Rais wetu anaonekana kama 'ameajiriwa' na serikali ya Marekani.

Haya madai kwamba alikuwa anasubiri Waitara 'astaafu' ndio aweze kufanyia kazi matakwa ya wamerakani kama ni kweli italeta picha mbaya sana kwa ofisi ya rais kama 'taasisi' na kwa Tanzania yote. Na pia madai kuwa Prof Kapuya (wakati huo akiwa Waziri wa Ulinzi) anaomba msamaha kwa sababu wanashindwa kufanya kama wamarekani wanavyotaka na kwa muda waliokuwa wanatarajiwa kwa sababu Waitara aligoma kama kweli nayo ni fedheha kubwa kwa nchi.

Nirudie, Ikulu wajipange vizuri na waelewe ni nini hasa tasfiri ya haya madai ya Wikileaks kabla hawajatoa Press Release nyingine. Hii imekaa vibaya mno kuliko ile ya suti maana inaongelea mambo ya ulinzi wa nchi na hivi majuzi ndege ya kivita ya Qartar imetua, ikapakia wanyama na kuondoka zake na Wizara ya ulinzi wamekaa kimya hadi sasa. Na swali ambalo inabidi wawe nalo kichwani wakati wanaandaa majibu ni hili, 'how safe are we as a nation under this leadership?
 
Haya ndio matatizo ya kuwa na viongozi wenye uwezo mdogo kiakili!ni aibu tupu hii
 
Kwa nini haya yanaibuliwa sasa? Hayana uhusiano na magamba yanayovuliwa huko CCM?
 
huyu dogo ikulu si size yake. Ndege ya kijeshi ya taifa jingine kwenye anga letu inafanyaje?
 
Kwa nini haya yanaibuliwa sasa? Hayana uhusiano na magamba yanayovuliwa huko CCM?

'Sisi wote hapa ni wanasiasa tukianzan kuumbuana kuna atakayepona?' Lowassa. 'Muda ukifika nitatoa tamko' Lowassa. 'Kwani nimefanya nini hadi mnataka kunifukuza CCM kuna kitu gani ambacho nimefanya kisha wewe JeiKei hukijui' Lowassa. Vuta pumzi kaka kama yeye anavyotuhumiwa na yeye sasa kasababisha na wenzie kuumbuliwa, ; swali, nani atamvua gamba mwenzake? Mwingine 'Msekwaa' keshaumbuliwa na matamaa yake sasa yuko kimya pua limemvimba tu kama kitimoto. Vuta pumzi tu kaka mengi utayaona, hawa magamba wana memngi ambayo umma haujui...
 
Tatizo si kushirikiana na Marekani tatizo mikakati na mwenendo mzima wa watu watako deal na Markeani wametayarishwa kukabiliana katika majadiliano nao.Na kuelewa kila kipengele cha makubaliano ya ushirikiano na wadau hao.

manake dunia hii kwa sasa tupende tusipende hatuwezi kukwepa kushirikiana nao,Mwalimu na misimamo yake bado alishirikiana na Wamaerekani.Lakini Je tuko tayari kwa upeo kuwa washirika na wadau wa kimaendeleo na kibiashara na Taifa hili kubwa duniani.

Kwa upande wetu kama watanzania wajibu kwetu ni kuwa na vichwa [Watu Makini] wanaojua na hata kuwacheza shela pindi inapobidi hawa jamaa kwa kuwa wao nao wanania yao binafsi kwenye mashirikiano nasi.Nasi tutumie nia zetu binafsi kufanikisha yetu hata kama ni kwa ghalama za migongo yao.Ndipo hapo pia nasi tunapswa kuthibitisha kuwa tuna maliasili watu think tank yenye upeo unaotengeneza win to win situation.

Nasikia Mwalimu alipatwa kuulizwa swali na wamerkani kuwa juna umbali gani kati ya Tanzania na Dar es salaam,na Mwalimu kabla ya kujibu nae akaulizaa swali kuwa "kuna umbali gani kati ya Washington DC na United state of America".Swali kama hili ukilitizama unaweza kuona ni mdhaha lakini kwa wenzetu ni kipimo kupima uwezo wa mhuiska katika kufikilia.Pata picha jibu la Mwalimu kisha tegemea muda si mlefu ataingia kwenye kikao cha majadiliano [negotiation] na kuweka makubaliano na wadau ya kitaifa tegemea uzao wa majadiliano hayo utazaa nini. Tena wakati wa Mwalimu Majidilaiano [Negotiation] hayakuwa na taaruma ambayo kwa zama hizi ni swala la taaluma dalasani.Hivyo kama Taifa hatuna budi kuwa na Watu makini wanaolelewa na kukuzwa kwa kusomeshwa ili kuja kuwaza na kutoa majibu ya shida na maendeleo kwa niaba ya faida ya UMMA.
 
Kwa nini haya yanaibuliwa sasa? Hayana uhusiano na magamba yanayovuliwa huko CCM?

Tehe tehe tehe!!!!!!!!!!! huu ushabiki wenu wa mkulu unawafanya sometimes muonekane wajinga!!!!!! Yaani cables za dunia nzima ziwe released ila ikimgusa JK eti ni kwa nini wanazi-release sasa. Julian Assange has a very high profile as such ni next to impossible kukuta kuwa eti akina Rostam wana ubavu wa kumuamuru a-release au asire-lease leaks zinazomuhusu Mkulu. Siasa ya Rostam haina influence hata ndani ya East Africa.
 
Defence Minister Juma Kapuya asked to meet with Ambassador Retzer to apologize for the delay and to assure the Ambassador that ACOTA training could begin sometime after August 1

Sasa upuuzi kama huu et tuwalaumu Marekani??????????
 
Kaazi kweli kweli, kitambo nilisikia wana bifu hawa jamaa i.e jK vs Waitara. Sasa nimeamini.....
 
Haya madai yanaonesha jinsi JK alivyokuwa na uchu wa kutekeleza matakwa yake kwa gharama za usalama wa nchi. Ni aibu kubwa sana kwa kuwa kama kiranja anayetekeleza tu matakwa ya wakubwa wa Washngton na siyo kutekeleza sera za kuletea wananchi wake ahueni ya maisha. Aibu sana hii JK. Hivi ukiondoka utaacha kipi cha maana katika maadili ya utawala?
 
Nimeisoma hii topic vizuri sana, mi nipo tofauti kidogo na wachangiaji wengine. Ningependa kujua kwanini Waitara aligoma, na serikali ikaheshimu na kusema inasubiri kwanza astaafu then ndo program ianze. Kama mkuu wa majeshi amegoma, maana yake kuna sababu za msingi na bila shaka alizitoa na serikali ilimuelewa. Kinachonishangaza kama mtu ana sababu za msingi na amezitoa (Kama alifanya hivyo) na serikali kama serilkali akazielewa, kweli dawa yake ni kumsubiri huyo mkuu wa majeshi astaafu????
 
Nirudie, Ikulu wajipange vizuri na waelewe ni nini hasa tasfiri ya haya madai ya Wikileaks kabla hawajatoa Press Release nyingine. Hii imekaa vibaya mno kuliko ile ya suti maana inaongelea mambo ya ulinzi wa nchi na hivi majuzi ndege ya kivita ya Qartar imetua, ikapakia wanyama na kuondoka zake na Wizara ya ulinzi wamekaa kimya hadi sasa. Na swali ambalo inabidi wawe nalo kichwani wakati wanaandaa majibu ni hili, 'how are safe as a nation?
I wish jamaa wa wikileaks wangetoa na ile ya uvumi wa Gen. Abdurahman Shimbo .
 
'Sisi wote hapa ni wanasiasa tukianzan kuumbuana kuna atakayepona?' Lowassa. 'Muda ukifika nitatoa tamko' Lowassa. 'Kwani nimefanya nini hadi mnataka kunifukuza CCM kuna kitu gani ambacho nimefanya kisha wewe JeiKei hukijui' Lowassa. Vuta pumzi kaka kama yeye anavyotuhumiwa na yeye sasa kasababisha na wenzie kuumbuliwa, ; swali, nani atamvua gamba mwenzake? Mwingine 'Msekwaa' keshaumbuliwa na matamaa yake sasa yuko kimya pua limemvimba tu kama kitimoto. Vuta pumzi tu kaka mengi utayaona, hawa magamba wana memngi ambayo umma haujui...
Kwa mtindo huu sasa CCM inapasuka angalau NCHI ipumue kutafunwa.
 
Hapa sina cha kuchangia. Napata maswali meng sana. TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE.
 
Tehe tehe tehe!!!!!!!!!!! huu ushabiki wenu wa mkulu unawafanya sometimes muonekane wajinga!!!!!! Yaani cables za dunia nzima ziwe released ila ikimgusa JK eti ni kwa nini wanazi-release sasa. Julian Assange has a very high profile as such ni next to impossible kukuta kuwa eti akina Rostam wana ubavu wa kumuamuru a-release au asire-lease leaks zinazomuhusu Mkulu. Sisa ya Rostam haina influence hata ndani ya East Africa.
Siku zote mimi mjinga tu. Najifunza kila uchao. Mengine nayaelewa, mengine yanapita tu. Nijibiwe tu kwa hoja bila matusi wala kejeli. Assange mbakaji anaweza akageuzwa na akatumika vyovyote vile.
 
Yaani hawa jamaa (US) wana influence hata uteuzi wa CDF? Aibu!

He added, "You've done very well by engaging the Chief of Staff, Lieutenant General Davies A. Mwamunyange, and you should continue to do so."
 
Back
Top Bottom