Zaidi ya Ma-MC 10 kuongoza harusi ya Masanja Mkandamizaji

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,818
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg

Katika kuwahabarisha watu wake na mashabiki wake,Masanja Mkandamizaji ameandika hivi katika mtandao wake
MBWEMBWE ZOOOOOOTE ZIMEISHIA KWA BINTI HUYU WA KISUKUMA HAKIKA KAWAZIDI WOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOTEEEEEEEEE

JAMANI KAMA ULIWAHIGI NIPENDA AU NILIWAHIGI KUKUPENDA BASI TUENDELEE KUOMBEANA MAANA HAPA NDO BREAK YA MBELE.

NAMPENDA MPAKA NASIKIA KIZUNGUZUNGU.
NAONA TAR 14 HAIFIKI

NATAMANI UKUMBINI MKAE SITI YA MBELE ILI USHUHUDIE MA STEP

ZAIDI YA MA MC 10 NIKIWEPO MIMI TUTAONGOZAAAAAAAAAAAAAAA TUKIO.

JAMANI KUSEMA UKWELI HAKA KA BINTI NAKAPENDA MWEEEEEH

KAMA HAUJAJISIKIA VIBAYA TUTAKIE KILA LA KHERI NA USIPOTUTAKIA MUNGU ATAFANYAAA
 
Harusi lini na waapi inafanyika nianzee kuandaa nauli mapemaa sidhani kama kutakua na michangoo hapo...
 
Namuonea hako kadada huruma. Kama katakuwa kanasafiri majuu hasa China akague mabegi yake kwa uangalifu wa hali ya juu kabla ajaenda airport. Ningeshaur anunue xray scanner ya mabegi kwa sir bila mkandamizaj kugundua
Mkuu hebu funguka vizuri. Unamaanisha jamaa yetu anachafuaga nguo za watu kwa Sembe?
 
Namuonea hako kadada huruma. Kama katakuwa kanasafiri majuu hasa China akague mabegi yake kwa uangalifu wa hali ya juu kabla ajaenda airport. Ningeshaur anunue xray scanner ya mabegi kwa sir bila mkandamizaj kugundua
Kumbe si kilimo peke yake?
 
Usipomtakia heli Mungu atafanya yake, punguza wivu kama jamaa ako hajawahi kujisifu kuwa na ww jichunguze vizuri labda unagubu au vinginevyo .
Karambe malimao
Wivu for what?
Ulitaka nitangaze akijisifu?
Au ulitaka anisifie hadharani hata huku JF?
Acha undezi wewe.
 
Back
Top Bottom