Zaidi ya Dr Slaa, nani mwingine CDM mwenye uwezo wa kupinga 12m kwa mwezi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zaidi ya Dr Slaa, nani mwingine CDM mwenye uwezo wa kupinga 12m kwa mwezi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbavu za Mbwa, Mar 6, 2011.

 1. M

  Mbavu za Mbwa JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 288
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  Alijizolea umaarufu sana. Binafsi hata mimi nilimuunga mkono Dr Slaa pale aalipoamua kupinga mishahara na posho nono za wabunge wetu. Kwa sasa wapiganaji wetu wa CDM hakuna hata mmoja ambaye anaonekana kukerwa na hili suala.
  Nani mwenye uwezo wa japo kukemea tu though anaendelea kuchukua.
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ngumu kumesa!
   
Loading...