Zaidi ya Dk. Slaa, nani mwingine ndani ya CHADEMA anafaa urais 2015?

Namkubali Mnyika nadhani ni vyema akipata uzoefu mjengoni na akijiendeleza kielimu itamsaidia sana mbele ya safari.Sijui kama shujaa wangu Dr W Slaa ataweza mikimiki ya mwaka 2015 ni mapema sana kubashiri.

Naomba kujua elimu ya Myika?

Dr. Slaa mwenyewe hafai... sasa sijui unauliza nini... for the time being... I can say Zitto is a potential president akifuatiwa na Mnyika. Rais hatakiwa kuwa mkurupukaji kama Dr. Slaa.... nadhani hata Vicent Nyerere.

But Dr. Slaa will never be a good president...

Naomba muwaulize wabunge waliongia bungeni kama wanaziona hizo milioni 12 kwenye pay slip zao au wakijumlisha mafao yote ya mwezi?

Hata niambiwe Dr analipwa milioni 20, mimi kama mlipa kodi nina amani moyoni, maana najua sehemu ya hela ataitumia katika kuwaelimisha watanzania waliolala, au ataitumia kuwasaidia watanzania maskini wa kutupwa.
Naumia sana nikisikia watu kama akina Cheng, RA wamepewa hata milioni 2 inayotokana na kodi yangu maana najua wataitumia hiyo hela ktk harakati zao za kuiba zaidi, au wataipeleka yote matumboni mwao.

Kweli Mnyika Namkubali mnoo! Thinking Capacity yake na Augument zenye mantiki nazikubali. Ila kama walivyosema waliotangulia tusubiri sababu tuna sura mpya nyingi mfano: Nani alimju Dada Regia na Lema kabla ya kampeni 2010? Yawezekana wapo ila si kwa kiwango wanachowajua sasa.

Nia yako si njema kama kawaida unaandaa mafarakano ya kisaikolojia ndani ya CDM.Nadhani wewe ni kati ya waliochakachua kura wakati wa uchaguzi.Hampati kitu ngo. Hata Shibuda hapati kitu, na yule mwingine hivi karibuni ataumbuka!!!! Hii ni CDM bwana ccm nini bana, CDM bana.

Wapo wengi sana, ila hoja yako ya kusema Dr amezeeka inaonesha wazi kwamba wewe umetumwa na mafisadi kufisadi JF. JF hatudanganyiki ngo!
ndio Dk slaa amezeeka, ukijumlisha na Upadri ni miongoni mwa dosari. Me nasema Mh Zitto ndie pekee mwenye uwezo na anakubalika.

Ukisikiliza wagombea urais wanaonadiwa humu ndani wengi wao ni mafisadi nguli mpaka najiuliza wananadiwa kwa lipi? Tofauti kabisa na watu kama Dk Slaa wenye uadilifu wa hali ya juu haihitaji hata kumpigia debe humu ndani ili awe Rais kwani Sifa zake peke zinaonesha kuwa Dk Slaa ana mvuto kuliko wsgombea wengi ambao hivi sasa wanahaha kwenda Kwa waganga kusaka viungo vya albino ili wapendwe Na wasafishike kwa kashfa mbalimbali walizonazo!

ASANTE DK SLAA.

Asante sana kamanda kizuri chajiuza kibaya chajitembeza

Dr Slaa kama ana mvuto basi itakuwa kwa Girlfriend wake JOSEFINA tuh,

Na sio kwa wananchi wenye akili zao timamu,hivi wewe kwa akili yako unaweza KUCHUKUA DOLA UKAMKABIDHI MTU ALIONGOZE TAIFA ILI HALI HATA FAMILIA TUH IMEMSHINDA??

AU MTU KASHINDWA KUCHUNGA KONDOO WA BWANA ATAWEZA VIPI KUONGOZA TAIFA KUBWA KAMA HILI??

UPUUZI HUO ZUNGUMZENI HUKO HUKO KWENYE VIKAO VYENU VYA MBEGE NYINYI WACHAGA.

mimi naomba dr slaa akipitishwa na ukawa alafu wakapewa one to one interview na ccm yoyote hapo ndo watamjua dr slaa

Dr Slaa kama ana mvuto basi itakuwa kwa Girlfriend wake JOSEFINA tuh,

Na sio kwa wananchi wenye akili zao timamu,hivi wewe kwa akili yako unaweza KUCHUKUA DOLA UKAMKABIDHI MTU ALIONGOZE TAIFA ILI HALI HATA FAMILIA TUH IMEMSHINDA??

AU MTU KASHINDWA KUCHUNGA KONDOO WA BWANA ATAWEZA VIPI KUONGOZA TAIFA KUBWA KAMA HILI??

UPUUZI HUO ZUNGUMZENI HUKO HUKO KWENYE VIKAO VYENU VYA MBEGE NYINYI WACHAGA.
mkuu ifike wakati basi na wewe urudishe heshima yako we kila siku ni udini na ukabila tu hata kama mada haihusiani na dini wala ukabila?

mkuu ifike wakati basi na wewe urudishe heshima yako we kila siku ni udini na ukabila tu hata kama mada haihusiani na dini wala ukabila?

Mkuu,

sasa tutaachaje kuzungumza jambo hilo ili hali ndan ya chadema ndiyo misingi yenu?

Dr Slaa kama ana mvuto basi itakuwa kwa Girlfriend wake JOSEFINA tuh,

Na sio kwa wananchi wenye akili zao timamu,hivi wewe kwa akili yako unaweza KUCHUKUA DOLA UKAMKABIDHI MTU ALIONGOZE TAIFA ILI HALI HATA FAMILIA TUH IMEMSHINDA??

AU MTU KASHINDWA KUCHUNGA KONDOO WA BWANA ATAWEZA VIPI KUONGOZA TAIFA KUBWA KAMA HILI??

UPUUZI HUO ZUNGUMZENI HUKO HUKO KWENYE VIKAO VYENU VYA MBEGE NYINYI WACHAGA.

haya siyo maneno ya hekima sana kwa wew ninavyo kuelewa

Zito pekee alikuwa anatosha,Babu afya hairuhusu,mbowe na Mnyika elimu ndo zero kabisaa,lema hata jina lake hajui kuandika,Sugu ndo kabisaaa bangi,halima mdee ana ugomvi na Mushumbusi

Back
Top Bottom