Zaidi ya bilioni 200 kutumika kutandaza mkongo wa Taifa wa mawasiliano wenye urefu wa 4244km kwa kutumia miundombinu ya TANESCO

Good idea! TTCL hawana miundo mbinu ya kutosha ndo maana hata utandazaji wake ukaishia kwenye baadhi ya sehemu tu! Sasa sijui kuna technlojia ipi, lakini kama inawezekana kutandaza mkongo wa mawasiliano kupitia lines za TANESCO, na kwavile TANESCO imeenda hadi vijijini, basi usambazaji wake utafika mbali zaidi kuliko ilivyokuwa upande wa TTCL

Hata hivyo, interest yangu sio kushuka bei, kwa sababu I bet haitashuka lakini angalau huduma itaweza kupatikana hadi vijijini
Maendeleo Endelevu
 
Huu mpango umeishia wapi maana hata sisikii chochote kile wamefikia wapi unaishi lini garama za mtu mmojammoia kwa mwenz shinga Tanzania siasa kila kona
 
Back
Top Bottom