nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,771
- 5,315
Zahera mwenyewe alishindwa kuifunga Simba SASA anamdanganya nini ibenge???Mimi sijaelewa Zahera ana ihujumu vipi Simba kwa kushiriki kwake na timu ya As Vita. Yule sio mtanzania ni mkongo, na ile As Vita ni timu inayotokea Congo, Kocha wa Vital ni kocha mwenzie anayefundisha nae timu ya taifa ya Congo. Tatizo lipo wapi kwa Zahera kumpa mbinu za kiufundi kocha mwenzie? Hapo hakuna hujuma, labda kama Zahera anafanya namna ili marefa wahongwe, au kama anafanya mbinu chafu zisizoruhusiwa kwenye mpira wa miguu. Lakini kama anaisaidia Vita kwenye mambo ya kiufundi kwenye uchezaji wa mpira basi kwa upande wangu sioni hiyo hujuma kwa timu ya Simba.
Na pia Zahera halipwi mshahara na watanzania, bali analipwa mshahara na timu ya Yanga ambao ndio maasimu wa Simba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wanikusanye tuwapige Kwa ujumlaa
Sent using Jamii Forums mobile app