Zahanati za kutolea mimba zafumwa kisutu na kinondoni

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Zahanati inayotoa mimba zimekamatwa na kufungiwa ,,,zahanati hizo zilizo kinondoni na kisutu,...,zilishtukiwa na wasamaria wema ambao waliwashtua wahusika na kukuta vifaa vingi vya kutolea mimba.....hii ni mwanzo tu alisikika afisa mmoja
moja ya zahanati hiyo ya kinondoni iitwayo nyamongo nimewahi kuilalamikia hapa na kuwapasha wahusika lakini akuna kilichofanyika tangu mwezi wa kumi,,,watoto wangapi wameondolewa tangu pindi hicho,....inasikitishsa sana baya zaidi moja ya zahanati kumekutwa fm za muhimbili na mwananyamala kitendo kinachoonesha ama ni ma dk wa muhimbili wanahusika kwenye zahanati HIZO..........hakika kwa walioona jana taarifa ya habari tbc ilikuwa ni ya kusikitisha ukiona vifaa vinavyotolea miimba dada zetu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom