Zahanati ya kijiji Mkoani Ruvuma hufungwa Mtumishi akiwa na dharura na Wananchi kukosa huduma

Okwanyo58

JF-Expert Member
May 3, 2020
1,643
2,000
Hapa nawaza hapo ni mpaka Kituo cha ITV kimeriport. Je, vijijini mbali huko wana hali gani?

Na kijijini kuna Mwenyekiti, Mtedaji, Mkuu wa Wilaya Walikuwa hawaoni, na huyo mtumishi waliempeleka bado hatoshi Waongeze wengine, inauma na inatia huruma kwakweli?

========

Siku chache baada ya ITV kuripoti zahanati ya kijjiji cha Kajima kata ya Jakika wilayani Tunduru mkoani Ruvuma kuwa na mtumishi mmoja ambaye akiwa na dharura inafungwa na wananchi wanakosa huduma za matibabu serikali imeongeza mtumishi mmoja kwenye zahanati hiyo.

2443730_Screenshot_20200701-145648.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom