Za kunyapia nyapia: Mchanga wa madini uliozuliwa mwaka jana pale bandarini waondolewa kimya kimya

masara

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,731
2,000
Kwani aliyesema ni poropeserio rabishi alidunguliwa kwa manufaa gani?waliona huyu ndo anawafunua waliolala akili so tumnyamazishe huyu na wengine wataufyata..nani mwingine umemsikia akiita oress kuulizia makinikia?je unawasikia tena wanalumumba wakishangilia uzalendo wa kichaa kwenye madongo?je unasikia story zozote zinazohusu udongo?sasa hivi habari ya mjini ni makontena boing na sgr.ila ukisikia ukuta wa mererani basi ujue kuna jipya au ukisikia accacia basi ni kesi imefikia pabaya kwetu..parakabanda kabundi alisema tuna pesa ila hatusemi tusije kudaiwa yaani wanaficha as if watasamehewa madeni yale na bora basi deni lingekua la nchi kwa nchi kidogo ibgekua na afadhali..niwakumbushe mkalioe deni linalodaiwa kwanza tanesco mkijiandaa kuwalipa na wanaume wale wa accacia
Usinikumbushe machungu ya Noah asiee.. yaani niliaibika maana tulipinga na jamaa
 

Mnyaluhala.

JF-Expert Member
Jul 28, 2012
1,369
2,000
serikali ilifanya vizuri kuzuia na haijakurupuka hawa wenye makampuni ya madini kwa muda mrefu wameuza mali ghafi kwa sababu wateja wao walikua wanataka hivyo kwa bei ile ile sawa na kama wangechenjua ndipo wauze so hawakuona sababu ya kuingia gharama kuchenjua wakati mteja anataka dhahabu ghafi. Matokeo yake waliokuwa wanafaidika ni wanunuzi na serikali inakosa kodi. Hizi sababu za smelta kutokwepo ni kujitetea tuu. Hivyo serikali ikubali ilikosea awali kutokana na kutowabana ipasavyo hawa wawekezaji, na sasa ijipange na ianze upya haya makesi kesi kwa makosa na uzembe wetu sisi wenyewe tuachane nayo kwa sasa . Wafanyabiashara daima huangalia namna ya kukuza faida na walipata fursa wakaitumia kutunyonya sasa kama tunasema baasi na iwe kwelibaasi.
 

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,738
2,000
Mchanga bado upo. Unalindwa na polisi na Usalama.

N.B Napiga mishe maeneo hayo
 

aduda

Senior Member
Jun 14, 2014
169
250
Habari zakunyapia zinasema Makumi ya madiwani wamekimbilia pasipojulikana huko wilayani Hai jimboni kwa mla Ruzuku
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom