Z`bar withdraws passports of unregistered Comorians | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Z`bar withdraws passports of unregistered Comorians

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Babylon, Aug 27, 2009.

 1. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Zanzibar authorities have embarked on a special exercise to withdraw passports issued to Zanzibar residents originating from Comoro who had failed to apply for citizenship as directed in 1968 by the first President of the Isles, the late Sheikh Abeid Amani Karume.

  According to Zanzibar Immigration Commissioner, Mwinchum Hassan Salum, the move is intended to thoroughly scrutinise the register to verify the status of individuals and identify all unqualified Tanzanians with Comorian origin for immediate withdrawal of their passports.

  “The passports were issued accidentally to some residents with Comorian origin,” the Commissioner confirmed in reaction to widespread complaints that the exercise was discriminatory and politically motivated.

  He said that the late President Karume had in 1968 ordered all Zanzibaris with Comorian origin to register themselves together with their children so that they could be entitled to all rights enjoyed by other Tanzanians.

  Salum however said, the Immigration register indicated that some Comorians who enrolled in the register were granted certificates of naturalisation, but those who did not register were not bona fide Tanzanians and therefore their passports must be withdrawn forthwith so that they can apply for naturalization or risk legal action.

  He argued that as per Chapter 39 of the Laws of Zanzibar, the status of the people of the Comorian origin were not the Sultan subjects and were therefore considered as “aliens.”

  By law, he said, these people have no other legal options except to register and apply for a certificate of naturalization.

  He added that as per the Law of Tanzania every person who was a citizen of Tanganyika immediately before the Union Day shall be deemed to have become a citizen of the United Republic on Union Day.

  The Isles immigration chief further said in accordance with the law in force in Zanzibar on Revolution Day, January 12, 1964, a Zanzibar subject shall on that day be deemed to have become a citizen of the United Republic of Tanzania.

  He advised all the Comorians living in Zanzibar to know their immigration status and that those not qualified for Tanzanian citizenship should register with the Immigration and apply for naturalization.

  The Commissioner defended the government’s decision, arguing that the exercise was not politically motivated and that it was purely a legal matter.
  He elaborated that the “passport withdrawal practice” would not include some members of the Comorian Society who are either Tanzanians by descent from their fathers or mothers.

  Asked for comments, some members of the Comorian Society living here wanted the Immigration Office to publish a list of all the people who had registered in 1968 to enable them to know their nationality status.

  They said the “passport withdrawal practice” had affected them psychologically and some had been affected to the extent of loosing their jobs.

  They requested the Isles President Amani Abeid Karume to intervene on the issue.

  On his part, the Minister of State in the Zanzibar Chief Minister’s Office, Hamza Hassan Juma has requested the Comorians to go to the Immigration Office to find out their nationality status and abide by the laws of the land.

  Leo wakomoro kesho?
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  1. Mbegu ya ubaguzi kitu mbaya sana kwa Watanzania!

  2. Ni vema tukawa na uhusiano kama ule wa Visiwani kwa watu wa Comoro..kwani ni ndugu zetu!
   
 3. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hivi Zanzibar ina passport?
   
 4. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hii ndio zanzibar na viongozi wetu hivi mshasahau yule shekh kurwa kama sikosei aliyeambiwa kuwa sio kwao hapa zanzibar na akahamishwa na kupelekwa sijuwi hata mkowa gani wa kule Tanganyika, masikini yule jamaa(tahadharini jiti na macho )kwa wale manoletwa kutumiwa hapa zanzibarna viongozi wetu ,hayana mmoja hayo leo kwa mwenzio kesho kwako.
   
 5. M

  Mkandara Verified User

  #5
  Aug 28, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Bluray,
  Mkuu wangu Zanzibar haina passport lakini haya ndio mawazo ya Viongozi wa Zanzibar. Jana ilikuwa wabara kuingia na pass, sijui wafukuzwe ni wahamiaji, basi hili la Wakomoro ndio litakalo imaliza Zanzibar...Yaani serikali hiyo imegusa pabaya... Sasa ndio utasikia vita ya siasa ndani ya Zanzibar, vita ambayo haitakwisha leo wala kesho kwa sababu nijuavyo mimi Zanzibar ni nchi inayoitamba kwa sababu ya Wakomoro. Wooote wanaopiga kerlel za Muungano na haki za Zanzibar ni Wakomoro kwa asili..

  Bara tunawavumilia kwa kila hali sii kwamba hatufahamu asili zao ila ni ktk kutambua Historia ya nchi hiyo ktk mkusanyiko wa makabila mengi ya dunia... Huu ndio mwanzo mkuu wangu utaisikia vurugu hii ikipamba moto kabla ya uchaguzi.. Sii ajabu bakora zikatemmbea..
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wazanzibara wamefulia!
   
 7. M

  Mkandara Verified User

  #7
  Aug 28, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  What a F..........Sultan subjects stand for!..

  Sheria nyingine jamani aaaah! ama kweli Miafirka Ndivyo Tulivyo.
   
  Last edited: Aug 28, 2009
 8. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hapa Zenji ni kama vile wamekula nyama ya mtu....
   
 9. S

  Shabkuyo New Member

  #9
  Aug 28, 2009
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninafikiri hizo quote mbili hapo juu zinatosha kumjibu huyo muheshimiwa labda kama analingine kuhusiana na hao watu
   
 10. N

  Nkazahau Member

  #10
  Aug 28, 2009
  Joined: Apr 26, 2009
  Messages: 66
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haya wazanzibara na wapemba mkae mkao wa kula - you are next :)
   
 11. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2009
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Zanzibar inatia aibu. Kama kuna watu wameishi kuanzia miaka ya 60's na unawaambia sio raia kwasababu babu zao walitoka morocco ni vichekesho na ubaguzi wa hali ya juu. Je watu watawekeza vipi kwenye sehemu yenye ubaguzi wa namna hii!
   
 12. M

  Mwakilishi JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2009
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 484
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hivi kwani sheria ya uraia inasemaje?

  Kwani ukiishi kwenye nchi nyingine miaka mingi unakuwa raia automatically? Si kuna sheria na taratibu za kuupata uraia? Kwanini baadhi ya Wakomoro hawakuzifuata hizo taratibu na wengine walizifuata?

  Tusianze kulalama bila sababu za msingi, wanachofanya Zanzibar ni kutekeleza na kusimamia sheria zao za uhamiaji, siyo ubaguzi!
   
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,324
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  Huku ni kukosa kazi za kuchangamsha akili maana badala ya kujenga, tunazidi kubomoa. Zanzibar kuna watu wameanza kupitiwa na usingizi mnono wa madaraka wanajisahau.Ivory Coast iliharibika na vitu vya aina hii hii. Ngoja tusubiri tuone wakina yakhe wanatengeneza nini kwa usumbufu huu wanaouanzisha
   
 14. C

  Calipso JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Najiuliza lkn sipati jawabu... Je! wakubwa nao itawakumba hii? watoto wa wakubwa je? wake wa wakubwa je? maana nao wamo humo. Hii ndo zanzi-BAR, Bar ya Zanzi.
   
 15. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Zanzibar bana, hamkosi jambo? Miye nilidhani huu ndiyo wakati wa kumjua na kumrudia Mola kumbe nyie mnaaza kuwatafuta Wa-Comoro? Inachekesha! Inaleta kichefucefu! Inaonyesha ufinyu wa fikra za viongozi!

  Baada ya Wa-Comoro, watafuata Wa-BARA, Baadaye Wa-Pemba baadaye...

  Mnaturudisha nyuma walahi!
   
 16. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #16
  Aug 28, 2009
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,272
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Anatafutwa mtu hapo. Sii wote.
   
 17. E

  Ex-Fisadi Member

  #17
  Aug 28, 2009
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwanza mlimshindwa huyo mmalawi mpaka akatawazwa u prezida, mtawaweza wacomoro ambao ni watu wa visiwa kama nyie ?? Zanzibar tuliza mkari wenu mjenge nchi yenu hapana kisiwa chenu!! kwanza mlitwaliwa na Mmalawi, akamwachia mzanzibara wa mjimwema huyu naye akamwachia mzaramo hapana mzazibara wa Manelumango. Kidogo mkampata Abdulwakati sijui yeye alitokea wapi!!kama ndoto mkampata kamandoo aliyekuwa hana kwao maana alioa mchaga na kulelewa na mzanaki. Nimekumbuka kwao ni bara kabisa!! sasa mnatawaliwa na mtoto wa kimalawi. Zamu ya wakomoro kuwatala itakuja nyie tulieni tu. If I were JK, ningetangaza serikali moja na kumrudisha karume pale lilongwe ili kumaliza huu ujinga wa kila siku.
   
 18. King Zenji

  King Zenji Senior Member

  #18
  Aug 28, 2009
  Joined: Feb 18, 2008
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  :):( daah kumbe mmalawi BABA??
   
 19. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  WaComoro mnakaribishwa Pemba ,karibu nafasi za kazi zitaanza kutafuta watu badala ya watu kutafuta kazi.
   
 20. K

  Kekuye Senior Member

  #20
  Aug 28, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu ulimaanisha Comoro au Morocco? Hizo ni nchi mbili tofauti.
   
Loading...