Yusuph Mlela: Nataka kuoa sugar mamy

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,380
STAA wa filamu Bongo, Yusuf Mlela ametoa kioja cha aina yake baada ya kufunguka kuwa akifika hatua ya kuingia kwenye ndoa anataka mwanamke atakayemzidi umri. Tofauti na vijana wengine ambao wanapenda kuoa wake wadogo kwao, Mlela alisema anaamini mwanamke akimzidi umri ndoa
itadumu na maisha yao yatakuwa mazuri kwani atakuwa tayari ameshakomaa kiakili na atakuwa na uwezo mkubwa wa kuiendesha familia.
"Nahitaji mwanamke anayenizidi umri na sitaki nimzidi mimi naamini huyo tutaelewana na ndoa itadumu, sitaki mwanamke ninayemzidi umri mimi maana itakuwa shida kwani sijapangilia hivyo," alisema Mlela.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    49.9 KB · Views: 438
Hivi asha boko ana mme?
mi naona anamfaa mlela....

Amesema anataka kuoa 'shuga mamy'

Sasa kua mtu mzima halafu huna hela hatukufanya uwe shuga..
Shuga mi lazima awe mtu mzima then awe na hela hivo vigezo viwili.

Kama ni mti mzima lakini huna hela unaeza itwa 'jimama' ama 'mama wa makamo'

Upo??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom