ndeankar
Member
- Feb 8, 2016
- 56
- 46
Mimi binafsi siipend bongo muvi kwa sababu zifuatazo
1.katikati ya muvi wanapita shortcut utaona "baada ya miezi Sita au baada ya mwaka mmoja" wakati wenzetu(mambele uko) huo mwaka mmoja hua wanatuonyesha wote means wataigiza Ata kwa episode ilimradi story inoge
2.story za bongo muvi nyingi sio created means sio mpya apa inabore yani unaangalia trela unaikumbuka myb ni story iliyokwishazunguka kwenye sms mtaani kama story ya kusisimua au kuhuzunisha apo Ata muvi hutamaliza coz unaijua Tayari ila pia story zao majini majini, zali la mentali au mapenzi
3.sometime quality ya muvi kua ndogo Sanaa yani unaona bora uzime TV ndio uangalie
Ushauri wangu kwa bongo muvi
1.Tengenezeni muvi za maana (high quality) apa kuna gharama na muda mwingi ila ili utengeneze kitu kizuri lazma ukigharamie Ata wenzetu muvy zao wanatumia mamilioni ya dola na kwa muda mrefu na wanatengeneza muvi ya maana inawalipa vizuri sokoni wakati huo ninyi mnawaza kuzifungia bila kujua tutazdounload tuu
2.mtunge story mpya zenye ustadi wa hali ya juu zifuatazo wavutia Ata wenzetu wa nchi za nje