Yusuph Mehbub Manji amejiuzulu rasmi Yanga

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,214
Kwa habari za hivi punde zinasema kwamba Mwenyekiti wa Yanga Yusuph Mehboob Manji amejiuzulu rasmi nafasi yake hiyo.

Nawasilisha.

upload_2017-5-23_12-7-41.jpeg

upload_2017-5-23_12-8-13.jpeg
 
Sababu zilizompelekea kujiuzuru..
Unamsikiliaza huyu anaweweseka. Jana alituambia FIFA imetuma barua TFF kuwa Simba Koko ndio bingwa, leo kaja na Manji kujiuzulu...ni ule wakati wa mwezi mchanga umewadia. Si ajabu kesho ukasikia kaja na habari mpya 'Rage yupo Madrid ku seal deal ya kumleta Gareth Bale Msimbazi'

Uzuri wake, harushi mawe kwenye magari ya watu.
 
duuh nilijua uongo, hapa watani kazi mnayo sasa. baba kaachia ngazi hii budget ya vihela vya sport pesa mtaweza kweli.
 
Back
Top Bottom