GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,516
- 108,791
Kwa haya mambo matatu ( 3 ) ni ishara tosha kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Yusuph Mehboob Manji siku zake za kuelekea katika ' umasikini ' mkubwa sana na kuja kuumbuka mno huko mbele sasa ' zinahesabika ' hivyo naomba tu ' nijitolee ' kwa muda kuwa ' Mganga ' wake ili niweze kumpa ' mizizi ' yangu fulani ambayo itaweza kurudisha ' nyota ' yake ya kutopendwa, kutoaminiwa na kukataliwa katika kila ' analolijaribu ' nchini Tanzania hadi kupelekea kuonekana ni ' Fisadi ' Kuu na mambo yake yaweze kuwa mazuri.
Lakini katika hizo ' ndumba ' ambazo nitampa hazitaishia tu kumfaidisha yeye Manji kama Yeye ila zitaweza pia kuisadia hadi na Klabu yake ( ambayo na Mimi pia naishabikia ) anayoiongoza ya ' Chura Churani ' ya Yanga ili na yenyewe izidi kung'aa na kufanya vizuri.
Mambo yenyewe ni:
Kama hali hii Manji hatoiangalia kwa ' umakini ' mkubwa na kunitafuta Mimi nimsaidie ' Kimazingara ' nawaona hawa Wachezaji akina Kamusoko, Ngoma, Niyonzima, Mbuyu, Bossou, Chirwa, Tambwe na huyu ' mgeni ' Zulu wakianza kushindia mihogo ya kukaanga, tembele na kushindia maji ya ' Kandoro ' pale mitaa ya Twiga na Jangwani.
Masikini Yusuph Manji pole sana.......

- Kukataliwa kununua ' Ufukwe ' wa Coco Beach.
- Kukataliwa kuimiliki Klabu ya Yanga huku wenye Klabu wakimvizia kumchapa ' bakora '.
- Kufukuzwa katika Jengo la Quality Plaza kwa kushindwa kulipa ' Kodi ' anayodaiwa.