Yusuph Manji achukua fomu za kugombea uenyekiti wa Yanga! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yusuph Manji achukua fomu za kugombea uenyekiti wa Yanga!

Discussion in 'Sports' started by Ochu, Jun 4, 2012.

 1. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Yusuph Manji achukua fomu

  04/06/2012


  Taarifa rasmi na za uhakika alizozipata Shaffi Dauda kutoka makao makuu ya klabu ya Dar Young Africans almaaruf Yanga Sports Club, zinasema mwanachama maarufu na tajiri wa klabu hiyo, mfanyabiashara Yusuph Mehebob Manji amechukua fomu za kugombea nafasi ya Uenyekiti wa klabu hiyo.

  Manji ambaye kwa muda mrefu sasa amekuwa akiisadia Yanga kiuchumi zaidi, alikwenda kwenye makao makuu ya klabu hiyo na kuchukua fomu za Uenyekiti bila kuweka wazi kama ni kwa ajili yake au amemchukulia mtu kwa ajili kugombea nafasi hiyo.

  Kwa siku kadhaa sasa kumekuwa na taarifa juu ya Manji kutaka kugombea nafasi hiyo japo mwenyewe bado hajathibitisha, ingawa kitendo chakecha leo kimezidi kuupa nguvu uvumi wa kwamba anataka kugombea nafasi ya kuwa bosi wa Yanga.

  Wakati huo huo taarifa nyingine zinasema kuwa aliyekuwa mjumbe Kamati ya Mashindano ya klabu ya Yanga, Abdallah Ahmed Binkleb naye muda wowote kutoka sasa atadondoka makao ya Yanga kwa ajili ya kuchukua fomu za kugombea umakamu mwenyekiti.

  Mwanachama mwingine maarufu wa klabu hiyo Issac Mazwile naye ameshachukua fomu za kugombea nafasi ya ujumbe wa kamati ya utendaji.

  Naye Mkuu wa wilaya ya Handeni, bwana Muhingo Rweyemamu amechukua fomu ya kuwania nafasi ya ujumbe katika uchaguzi huo uliopangwa kufanyika Julai 15, 2012. Katibu wa kamati ya uchaguzi ya Yanga Francis, Kaswahili amemwambia Dina Ismail kwamba jana kwamba wanachama hao wanafanya idadi ya wagombea waliochukua fomu za kuwania nafsi mbalimbali za uongozi katika klabu hiyo kufikia 10 (baada ya taarifa hapo juu ya Manji kuchukua fomu, sasa idadi itakuwa 11).

  Mbali na hao, wanachama wengine waliochukua fomu ni pamoja na John Jambele anayewania Uenyekiti, huku Ayoub Nyenzi akiwania nafasi ya Makamu Mwenyekiti, "Waliochukua fomu kuwania ujumbe wa kamati ya Utendaji mbali na Muhingo na Binkleb ni Isaac Chandi, Jumanne Mwamwenye na Salehe Hassan," alisema.


  Source: wavuti - wavuti
   
 2. H

  Hute JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,044
  Likes Received: 3,914
  Trophy Points: 280
  so wat? fisadi kupata umaarufu kupitia timu yangu ya yanga?
   
 3. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  ww utakuwa yanga mamluki tu.Huyo ndio abromovic bwana,amekuja kusawazisha bao zenu 5 za kishirikina,na kuchuana na azam kimaendeleo,nyie mtabaki na "simba tv" yenu hapohapo na uwanja hewa
   
 4. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 734
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Habar zilizoenea mitaa ya twiga na jangwani, ni kwamba mfanyabiashara maharufu tanzania , na mdhamin wa yanga, Yusuph Manji kachukua form za kugombea nafasi ya uenyekiti yanga. Yalisemwa, na yanaelekea kutokea!
   
 5. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kugombea uwenyekiti ni haki ya kila mwanachama, lakini taarifa hizo zilikanushwa na mwenyekiti wa kamati ya uchahuzi.
   
 6. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huyu ndo ataibadili yetu, wana yanga tuwe wavumilivu ili aifanye kampuni tumiliki hisa kupitia mahela yake.
   
 7. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  yap, mahela yake ya ufisadi. no wonder hata tiketi za kuingilia uwanjani alishawahi kuamuru ziandikwe maandishi ya kuran, akifikiri wana yanga wote ni waislam....
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Sasa ni rasmi yanga itaongozwa na fisadi kama CCM.................
   
 9. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #9
  Jun 4, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  anajisafishia ufisadi wake kupitia mgongo wa yanga, ninavyoipenda yanga, nikisikia jina la huyo mtu huwa nachefuka natamani hata kuhamia simba.
   
 10. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #10
  Jun 4, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Hivi Rage sio fisadi Mkuu? Yanga daima mbele, nyuma mwiko....
   
 11. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  kwani manji anacheo gani serikalini, hadi umuite fisadi babu?!! Kama manji fisadi na bakhresa fisadi pia
   
 12. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #12
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Hakuna mwana yanga mwenye akili chafu kama wewe,so just stay away pls,baki na simba yako na utuachie yanga yetu gosh!
   
 13. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #13
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Natamani kutapika kutokana na kinyaa unachokitapika!
   
 14. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #14
  Jun 4, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  au uliwahi kumpa tigo alafu hela alizokulipa ukazipoteza bila kutmia hata jero?!!!
   
 15. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #15
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  nimekosa la kusema!
   
 16. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #16
  Jun 4, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  samahani manji kama nimekuudhi, punguza hasira, ulileta mada yako hapa ili upate publicity, mambo ya tigo yanaendana vipi na wewe kuchukua form....nani asiyejua hapa tz kama wewe ni fisadi papa mkubwa kabisa, unazipeleka pesa hizo za ufisadi yanga? huoni unaidhalilisha timu? sisi wanayanga inatuuma kuona wewe unajificha kwenye kichaka cha yanga, ingekuwa vizuri ukanyamaza kimya usilete hii mada...ukileta lazima tu tutakuchambua, hii ndo jamii forums...punguza hasira, ukubali ukweli utakusaidia...ok bwanamdogo? kama wewe unatoaga tigo usifikiri kila mtu huwa anatoa iyo tigo.....endelea kutoa tigo kama ndo tabia yako lakini pesa za walipa kodo wetu uziache...
   
 17. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #17
  Jun 4, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  siamini kama jamiin forums ni eneo zuri kwa mafisadi kujisafisha na kupata publicity, ukija hapa kama wewe ni fisadi utatolewa kama kunguru wa zenji.....kawaulize wenzio, au nyamaza kimya manake hapa wengine wakianza nao kukukurupua, utakimbia bila nguo mtaani wakushangae...
   
 18. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #18
  Jun 4, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  achana nae, shoga huyo,amejiunga leo kutoka fbook!!
   
 19. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #19
  Jun 4, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ni wale wale tu mzee, hizi ndo timu zetu za kibongo, kimekuwa kichaka cha wahalifu ndo maana hata hatuendelei......tunapigwa mabao na matimu ya nchi zingine kila mwaka...kila kocha anayekuja kufundisha hapa anasema hatufundishiki, na akiondoka anaapa kutorudi tena tz....kamwuliza maximo.....aliumiza kichwa hapa akachanganyikiwa hadi akaingia kuigiza filamu za kibongo....wachezaji wetu wamemchanganya...
   
 20. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #20
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  st ivuga subiri kipigo sasa!
   
Loading...