Yusuph Makamba VS Makonda nani alilimudu JIJI?

ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
2,019
3,878
Habari za asubuhi;
Tukiweka habari za barua pembeni kati ya Mkuu wa Mkoa Mstaafu Ndugu Yusuphu Makamba na Mkuu wa mkoa wa sasa Paul Makonda nani zaidi;

Tutumie vigezo vifuatavyo:
  1. Mvuto.Nani alikuwa na mvuto zaidi kwa wanadaslaam
  2. Utekelezaji.nani alitekeleza wajibu wake kikamilifu katika kuleta mageuzi jijini
  3. Siasa:nani alikuwa na siasa za kijanja zaidi
  4. Mikakati:Mikakti ipi ilikuwa ya kijanja zaidi
Karibuni tuwajadili,Team PAMBIO pia wanaruhusiwa kumwaga povu
 
Mmoja yuko vizuri kwenye matumizi ya nguvu mwingine yuko vizuri kwenye matumizi ya akili
 
Binti mfaume princess bashite kwa mbali sana kamfunika huyo mzee mpumbavu(kwa mujibu wa katibu) mana huyu bashite katuwezesha sisi walimu wa ccm tunapanda daladala bure, kakomesha wauza ngada, machangudoa dar wameikimbia, waliotelekeza wake zao bashite kawanyosha kweli kweli, la mwisho bashite ndo kila kitu kwa jiwe, chochote atakacho bashite kwa jiwe ewalah.
 
Pia bashite aliwezesha ccmstars kufuzu afcon na kutinga robo fainali ya michuano hiyo.
 
Huu sasa ni utani! Yaani Makamba afanane na mtu ambaye ni zero kwenye uongozi kiasi inafikia Katibu mkuu wa chama chake kushauri arudi shule? Labda umpambanishe Yusuph Makamba dhidi ya Abbas Kandoro (RIP).
 
Swali lako umelirefusha sana ila kwa Kukusaidia tu ni kwamba Mtu yoyote aliyezaliwa Mikoa ya Pwani huwa anakuwa Mjanja na Mtoto wa Mjini kuliko wale Walugaluga ( Washamba ) wanaozaliwa / waliozaliwa Mikoani ambao kwa bahati mbaya wengi Wao wakija tu Mjini na Treni zao huku wakiwa wamejificha Stoo huwa wanakuwa na Nyodo na Sifa mno.

Nadhani mpaka hapo kwa haya Maelezo yangu utakuwa tayari umeshapata jibu juu ya Swali lako husika Kiongozi.
 
Tukiacha chuki RC Makonda Anajitaidi bwana dar es Salaam ina mambo mengi sana yamefanyika katika uongozi wake tena ya kimaendeleo tofauti na wakati wa viongozi wengine waliopita

Nasubili Mapovu Yenu Wafia Chama Cha Wachaga
 
Punguza kasumba mkuu, wapo watoto wa mjini wengi tu ambao siku nzima wanashinda mabarazani wakiangalia makalio ya kinadada waokatiza, hao ni choka mbaya, watoto wenye makuzi ya hovyo tu.

Wapo walugaluga wengi tu wenye nyumba za maana mbezi beach, bahari beach, goba na kigamboni.

Ondoa kichwani mwako hiyo dhana ya utoto wa mjini, imeshapitwa na wakati. Marehemu Nyerere alikuwa mlugaluga ambaye vijana wa kipwani walijikuta wakiuheshimu uwezo wa akili zake.
 
Aiseee
Binti mfaume princess bashite kwa mbali sana kamfunika huyo mzee mpumbavu(kwa mujibu wa katibu) mana huyu bashite katuwezesha sisi walimu wa ccm tunapanda daladala bure, kakomesha wauza ngada, machangudoa dar wameikimbia, waliotelekeza wake zao bashite kawanyosha kweli kweli, la mwisho bashite ndo kila kitu kwa jiwe, chochote atakacho bashite kwa jiwe ewalah.
 
Sijiu Nani alifunika.... Ila nakumbuka Kuna mmoja alilifunika jina la dar es salaam... Likatamkwa jina lake....
 
Tukiacha chuki RC Makonda Anajitaidi bwana dar es Salaam ina mambo mengi sana yamefanyika katika uongozi wake tena ya kimaendeleo tofauti na wakati wa viongozi wengine waliopita

Nasubili Mapovu Yenu Wafia Chama Cha Wachaga
Kwahiyo hapa mkuu wewe ndio umeacha chuki sio?😂
 
Tukiacha chuki RC Makonda Anajitaidi bwana dar es Salaam ina mambo mengi sana yamefanyika katika uongozi wake tena ya kimaendeleo tofauti na wakati wa viongozi wengine waliopita

Nasubili Mapovu Yenu Wafia Chama Cha Wachaga
Acha ubaguzi ndugu...kama ulivyosema acha chuki....sio wote wanaoleta mada hapa jf ni watu wa chama fulani...ingekuwa vizuri ungejibu hoja kwa hoja badala ya kuingiza chuki zako kwa Wachaga na ubaguzi wako kwenye mada ya msingi...Kinee...
 
Back
Top Bottom