Yusufu Makamba arudishwe kuja kuokoa jahazi la CCM

Naomba niseme wazi kuwa yule ndiye mtu sahihi kwa ccm kwa muda huu ambao mambo yanaenda kombo.ni ngumu watu kunielewa lakini naamini yule mzee akirudishwa hizi mbio za cdm zitaisha fasta na maisha yataendelea kama kawaida.

Kwa nini siyo Mangula?
 
Seif al islam, naomba nikuulize tumaswali tudogo tu;

  1. Kwa nini ungependa mbio za Chadema ziishe fasta?
  2. Je hayo maisha ya kawaida unayowatakia Watanzania ni maisha ya aina gani?
  3. Kwa nini unaamini maisha ya Watanzania yataendelea kama kawaida bila Chadema?
  4. Je ni Chadema ndio ndio chanzo cha maisha ya Watanzania kwenda kombo?
  5. Na mwisho hayo maisha ya kawaida yalikuwa yapi kabla ya Yusufu Makamba kuachia ngazi?
Nakuomba kwa heshima na taadhima urudi fasta uniondolee hiki kiwingu kinachonizuia kuona hayo mafanikio chini ya Yusufu Makamba!

Mafanikio pekee ya Makamba ni kuwashawishi wa magamba kufungua kesi za kupinga matokeo halali kama alivyofanya Hawa Ngumbi.
 
Ok, makamba Mzee wa full comedy alituinua sana wana CDM tutafurahi kumwona tena, hayo makao aliyoenda kuwaandalia wakati anaachia Ukatibu mkuu yako tayari kwa taarifa zilizopo na ni kwa wana magamba wote na mlango wa kuingia ni 2015..
 
Eti mgonjwa aliye ICU amsaidie maiti aliye mochwari. Teh
.
THE UNSEEN IS ILLUSTRATED BY THE SEEN.
 
CCM kwisha, hata arudi nani hamna kitu!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Inaelekea CDM inawanyima usingizi wengi ,pole kwa hilo.Kwa hapa tulipo fikia CDM nikama kivuli chako huwezi kukikwepa kila uendapo kinafukufuata nenda Mtwara na Lindi kipo kivuli kitakufuata tuu.M4C.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom