yUsuF MaNjI kUleTa kAmPuNi MpYA yA sImU Za mKoNoNi wIkI mBILi zIjAzO kUanZiA jAnA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

yUsuF MaNjI kUleTa kAmPuNi MpYA yA sImU Za mKoNoNi wIkI mBILi zIjAzO kUanZiA jAnA

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by bampami, Mar 12, 2012.

 1. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,851
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  Kampuni mpya ya simu za mkononi ya MYCELL inayomilikiwa na mfanyabiashara wa kitanzania yusuf manji, inatarajia kuanza kutoa huduma zake katika kipindi cha siku 15 zijazo kuanzia jana.
  Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake dsm juzi mkurung3nzi wa ufundi wa mycell kanali anurag chandra alisema kampuni hy ni dada wa kampuni ya quality group.
  Mycel imezingatia ubora wa huduma kwa wa2miaji wa handmobile na inauwezo wa 3.5G
  Ni kampuni ya kwanza ya handmobile kumilikiwa kwa 100% na mtz
  Kampuni hyo itazingatia kuajili watz zaidi.
  Source tz daima na irene mark.
   
 2. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Ni bora mapesa yetu yabaki nchini kuliko yangewekezwa nje.
   
 3. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  kanali anurag chandra

  sawa tumekusoma mkuu ila kama kuajili sawa lakini kama ni kuajiri haitakuwa hivyo unavyosema.
   
 4. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kama haitokani na ufisadi ni nzuri
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kabla ajafungua awaulize Sasatel kwanza!
   
 6. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,851
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  Watz c unawajua? Wa2 wapo makini sana kama ilivo kwenye siasa ndivyo itakavyokuwa hata hapa.
   
 7. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,851
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  Kuna technique za kimarket ambazo sasa tel design kama walizikoseb but akijua weakness za tiGO, VODA, Airtel na zantel anaweza kuzi2mia kama opportunity kulishika soko la watz.
   
 8. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  njoo mwanakwetu.
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ********* huyo wahindi bahili sana hiyo kampuni haitafika kokote cheki sasatel na HITS zimeishia wapi kuna benson nayo mpaka leo haikuwi
   
 10. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Sim card zao zinauzwa wapi?nataka niiinunue niwe nayo hata kabla hawajaanza kutoa huduma,nimeichoka na wizi wa tigo na voda.
   
 11. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Kwa ku Google haraka haraka naona wanataka wafanye mistake ya Sasatel, network sio ya GSM.
   
 12. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,851
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  tusubiri mpaka wazindue
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hiyo hits haikueleweka mara ikaja ya kina mzee wa ticts sasa manji job true true..
   
 14. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bampani: naomba kuuliza, topic heading kwanini imeandikwa hivyo, caps/lowercase....
   
 15. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,851
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  ni namna ya kuvutia wadau wasome threads.
   
 16. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,034
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hakipata pesa si atapeleka YANGA huyu ? me nasubiri ya akina dewji mo
   
 17. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,851
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  sizani lengo lake ni kuwasaidia watz
   
 18. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #18
  Mar 13, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  Hizo kampuni zote ulizozitaja hapo juu zimeangushwa na mfumo wa teknolojia wanayotumia ya CDMA ambayo ni ya kisasa na ni gharama kubwa kuweza kuiendesha ndio maana BENSON Online wamekufa kimya kimya wakifuatiwa na wenzao SASATEL


  Kama kampuni ya Mycell itakuja na mfumo wa GSM ambao ndio umesambaa zaidi hapa nchini itakuwa ni rahisi kwake kwenye upande wa uwekezaji hasa kwenye upande wa celltower ambapo anaweza kutumia minara ya makampuni yaliopo badala ya kujenga ya kwake kitu ambacho TCRA hataki kutokana na uharibifu mkubwa wa maziringa hivyo sheria ya sasa inawalazimisha kushare mirana..


  Kwa upande wa soko inategemea na plan zake za kuweza kuliteka soko kwa kuja na huduma za uhakika na bei nzuri,na kujua ni nini hasa wateja wanahitaji
   
 19. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #19
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
 20. i

  iMind JF-Expert Member

  #20
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,907
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Watatumia CDMA, nafikiri wanalenga zaidi kwenye upande wa data na siyo voice. Wanalenga cooperates na siyo individuls. Hope wamefanya business plan yao vizuri.
   
Loading...