Yusuf Manji kuhamishia biashara zake zote nchini Zambia

Hivi ni JF kumejaa vilaza au ni watanzania wengi akili hawana? Bandiko la mtoa mada linaonesha Manji anafilisiwa na Bank lakini replies karibu zote zinaongelea kitu tofauti kabisa hahaha kweli watanzania wenzangu mnadata kinyama ule utafiti kwamba kwenye kila watanzania watano watatu ni vichaa naanza kuutazama kwa jicho la huluma
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Sio Manji pekee Wafanyabiashara wengi wamekimbilia Zambia,Uzuri wa Zambia ukiwalipa kodi hawakusumbui tena na hawana EFD wala ujinga wa risiti na ndio Nchi ambayo mizigo mingi inaingia kutoka SA na China kupitia Durban maana Tanzania walikimbia baada ya kuwekewa VAT kwenye transit goods sasa imefutwa wao washazoea tena SA...bandari zipo nyingi mnaleta usumbufu watu wanaangalia kwenye unafuu tu..
Waende salama! Hatuwezi kuogopa kutoza kodi kwa sababu tu ya kuogopa wafanyabiashara wataondoka!!! Wahuni hawa walizoea kukwepa kodi, wala hatuwabembeleZI!!!!
 
City center inanufaisha wangapi.? Wewe serikali yako inawalipa wananchi wake sh ngapi.?? Yule ni private unalipwa kutokana na unachozalisha.

Umasikini hauwezi ondoka kwa kumchukia tajiri hata siku moja, na uache ubaGuzi coz wewe huenda hujaajiri hata Beki tatu tu halafu unamuita mwenzako mnyonyaji...

Achaa aende zake, wahindi wanyonyaji kwani nani hajui.... unaweka maneno ya shombo tu hapa.
 
Ndio wanakuweka mjini 80% ya kodi utoka kwao,kaulize Uganda walipowafukuza
Kwani hao wamefanya kipi cha maana sasa kuwazidi wa afrika? Hivi unajua India ndio nchi yenye masikini wengi kuliko zote duniani?
 
who is Manji in this country? anawasaidiaga nini? watanzania ni wanafiki wasio na mfano. alivyotaka kuchukua coco beach iliawacharge mihela mlifurahi? Manji ni mwizi tena wa akili za wapumbavu wa nchi hii. Namwombea sana John Pombe Joseph Magufuli sijui kama tutampata mwingine baada ya yy kumaliza muda wake. Nani wa kumfananisha na Magufuli kwa wakati huu? tunaishi kwa amani kuliko wakati mwingine wowote!

JPM Oyeee... Maana zamani tulikuwa tukipita na tule tugari twetu tunaitwa Vitz au Nissan March, umechoka kabisa unatoka kazini jioni, basi utakutana na wahindi wanafukuzana na Ma-Rand Cruiser na Ma-Discovery tena matusi na wanakudharau wewe kama uondoe kigari chako barabarani, utafikiri barabara ya kwao.... wacha aeendeee !!

JPM Oyeee... Adabu imerudi sasa hivi :p:p:p
 
Ndio wanakuweka mjini 80% ya kodi utoka kwao,kaulize Uganda walipowafukuza
😂😂😂 We umesoma hata darasa la saba kweli? Wao ndio wanaonufaika na Tanzania zaidi sio sisi watanzania tunaonufaika na wao

Wametoka India wakuta Tanzania ina rasilimali, soko, nguvu kazi na serikali ovu ya wala rushwa {incase hujui ni kwamba nchi yoyote ya kigeni ambayo wahindi wamefanikiwa sana ujue hiyo serikali ipo corrupted sababu wahindi wanaweza kufanikiwa tu kwenye corrupted government hii ni fact}

Tokea hawa wahindi waletwe na muingereza kujenga reli wamekua wakiibia Tanzania kuanzia wakiwa na mkoloni mpaka leo kama vile muingereza alivyoiibia Tanzania bahati mbaya tu wazungu waliondoka na kuja kivingine lakini hawa wahindi tulibaki nao na Nyerere akawapa uraia kama watanzania wenzetu kwa sharti kwamba watakua wazalendo lakini hakuna chochote walichobadilika.

Kwa hiyo hakuna 80% mali yao, hiyo ni mali ya mtanzania iliyoibwa na hawa wapuuzi ndio maana Id Amin alikua anawatimua
 
JPM Oyeee... Maana zamani tulikuwa tukipita na tule tugari twetu tunaitwa Vitz au Nissan March, umechoka kabisa unatoka kazini jioni, basi utakutana na wahindi wanafukuzana na Ma-Rand Cruiser na Ma-Discovery tena matusi na wanakudharau wewe kama uondoe kigari chako barabarani, utafikiri barabara ya kwao.... wacha aeendeee !!

JPM Oyeee... Adabu imerudi sasa hivi :p:p:p
Dah umenikumbusha kuna wahindi flani kipindi cha jk na kipindi hiki ukiwaangalia ni kama mtu yoyote akiwapa msaada wa nauli wanaeza rudi kwao bila kutoa taarifa

Wahindi/wabongo wengi walikua wakifanya biashara zao kihuni
 
Hivi ni JF kumejaa vilaza au ni watanzania wengi akili hawana? Bandiko la mtoa mada linaonesha Manji anafilisiwa na Bank lakini replies karibu zote zinaongelea kitu tofauti kabisa hahaha kweli watanzania wenzangu mnadata kinyama ule utafiti kwamba kwenye kila watanzania watano watatu ni vichaa naanza kuutazama kwa jicho la huluma

Nahisi tumejaa vilaza hapa JF... Maana kuna watu hapa, wameona PWC kumfilisi Manji... basi wakaanza kusema Utawala wa mabavu wa Rais, ndio hapo nilipojua kuwa tunaakili nyingine hapa zinatokea miguuni, kwa hiyo hadi zikatize magotini, zipenye kiuno kigumu, zipite uti wa mgongo wenye ukurutu, zifike sehemu husika zitoe kitu... basi ni bomu tuu.
 
Dah umenikumbusha kuna wahindi flani kipindi cha jk na kipindi hiki ukiwaangalia ni kama mtu yoyote akiwapa msaada wa nauli wanaeza rudi kwao bila kutoa taarifa

Wahindi/wabongo wengi walikua wakifanya biashara zao kihuni

Sana tuu Mkuu... sasa hivi wenye akili ndio wanatengeneza pesa, wale wavivu wamebakia kulalamika tu.
 
Sana tuu Mkuu... sasa hivi wenye akili ndio wanatengeneza pesa, wale wavivu wamebakia kulalamika tu.
Mbaya zaidi walikua na zarau na kejeli kwa watanzania, hao wahindi walikua wanaona watanzania kama takataka, walikua wanazarau mpaka watumishi wa serikali ila saivi ukiwaona utasema sio wale sababu kama ni number hakika wanaisoma
 
😂😂😂 We umesoma hata darasa la saba kweli? Wao ndio wanaonufaika na Tanzania zaidi sio sisi watanzania tunaonufaika na wao

Wametoka India wakuta Tanzania ina rasilimali, soko, nguvu kazi na serikali ovu ya wala rushwa {incase hujui ni kwamba nchi yoyote ya kigeni ambayo wahindi wamefanikiwa sana ujue hiyo serikali ipo corrupted sababu wahindi wanaweza kufanikiwa tu kwenye corrupted government hii ni fact}

Tokea hawa wahindi waletwe na muingereza kujenga reli wamekua wakiibia Tanzania kuanzia wakiwa na mkoloni mpaka leo kama vile muingereza alivyoiibia Tanzania bahati mbaya tu wazungu waliondoka na kuja kivingine lakini hawa wahindi tulibaki nao na Nyerere akawapa uraia kama watanzania wenzetu kwa sharti kwamba watakua wazalendo lakini hakuna chochote walichobadilika.

Kwa hiyo hakuna 80% mali yao, hiyo ni mali ya mtanzania iliyoibwa na hawa wapuuzi ndio maana Id Amin alikua anawatimua

Kiongozi @REDEEME umetoa madini ya kufa Mtu na asiyejua asijue tuu.... You are the BIG BRAIN Brother - Bravoo.
 
Akili za watu wenye asili ya yale maeneo ambayo yalikuwa kitovu cha biashara ya utumwa utazijua tu ni kama hizi zako. Maana wao kudhalilishwa mwarabu ima mhindi ni sifa. Pengine wakawaomba wake zao wazae na hii jamii ili familia zao ziwe na angalao damu ya mtume.

Hivi waweza rudia kusoma hiki ulichokiandik na kuridhika kabisa kuwa uwezo wako ndiyo huu? Je nkikuita ni mpumbavu ntakuwa nimekutusi au kukuonea? Anyway busara si kwa wote
 
Mbaya zaidi walikua na zarau na kejeli kwa watanzania, hao wahindi walikua wanaona watanzania kama takataka, walikua wanazarau mpaka watumishi wa serikali ila saivi ukiwaona utasema sio wale sababu kama ni number hakika wanaisoma

Kiukweli wanaisoma namba... kuna jamaa yangu XX ana kampuni yake ndogo ya stationary ameniambia alikuwa hajui kama iko siku atapata tender ya Serikali, Tender zoote zilikuwa zimeshikwa na wahindi, walikuwa wanatanguliza Pesa, sasa hivi imekula kwao. Jamaa mzalendo kapewa Tender ya Ku-Supply Stationary Ofisi ya Serikali, basi amepagawa anapiga kazi usiku na mchana ... anasema anaona wazi umasikini unamkimbia kabisa.
 
Wanajamvi kumekuwa na tetesi za chini chini kuwa baada ya kuandamwa na serikali ya awamu ya tano kwa muda mrefu mfanyabiashara Yusufu Manji kuhamia Zambia. Habari kutoka kwa watu wa karibu zaidi na familia ya mfanyabiashara huyo zinasema mpaka sasa makampuni yake matatu yameshafungwa bado yupo katika hatua za mwisho wa kufunga biashara zilizobaki
View attachment 957252
Mfanyabiashara anaangalia bottom line yake..iwe Marekani au Tanzania.
 
Kuna Dada .mmoja hivi nnavyozungumza hayuko nchini kaenda kujaribu maisha kwingine nchi za nje ...mtu na kibiashara kako unaleta ka mzigo kako kodi mamilioni ya shilingi kama vile sio nchi yako ..hatukatai mtu asilipe kodi ila kodi za sasa hivi zimewekwa kuumiza
 
Back
Top Bottom