Volcano Temperature
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 106
- 86
Kama mnawaza ngono badala ya Pesa wacha mtumikishwe tu
Kama watu wanawaza ngono... we utakuwa unawaza kupitiwa na Konki Konki Konki Master
Kama mnawaza ngono badala ya Pesa wacha mtumikishwe tu
Waende salama! Hatuwezi kuogopa kutoza kodi kwa sababu tu ya kuogopa wafanyabiashara wataondoka!!! Wahuni hawa walizoea kukwepa kodi, wala hatuwabembeleZI!!!!Sio Manji pekee Wafanyabiashara wengi wamekimbilia Zambia,Uzuri wa Zambia ukiwalipa kodi hawakusumbui tena na hawana EFD wala ujinga wa risiti na ndio Nchi ambayo mizigo mingi inaingia kutoka SA na China kupitia Durban maana Tanzania walikimbia baada ya kuwekewa VAT kwenye transit goods sasa imefutwa wao washazoea tena SA...bandari zipo nyingi mnaleta usumbufu watu wanaangalia kwenye unafuu tu..
Kwani hao wamefanya kipi cha maana sasa kuwazidi wa afrika? Hivi unajua India ndio nchi yenye masikini wengi kuliko zote duniani?Kipi mswahili anaweza
Kwa akili kama yako mbinguni sio kwakoWaende salama! Hatuwezi kuogopa kutoza kodi kwa sababu tu ya kuogopa wafanyabiashara wataondoka!!! Wahuni hawa walizoea kukwepa kodi, wala hatuwabembeleZI!!!!
City center inanufaisha wangapi.? Wewe serikali yako inawalipa wananchi wake sh ngapi.?? Yule ni private unalipwa kutokana na unachozalisha.
Umasikini hauwezi ondoka kwa kumchukia tajiri hata siku moja, na uache ubaGuzi coz wewe huenda hujaajiri hata Beki tatu tu halafu unamuita mwenzako mnyonyaji...
Kwani hao wamefanya kipi cha maana sasa kuwazidi wa afrika? Hivi unajua India ndio nchi yenye masikini wengi kuliko zote duniani?
Kwani hao wamefanya kipi cha maana sasa kuwazidi wa afrika? Hivi unajua India ndio nchi yenye masikini wengi kuliko zote duniani?
who is Manji in this country? anawasaidiaga nini? watanzania ni wanafiki wasio na mfano. alivyotaka kuchukua coco beach iliawacharge mihela mlifurahi? Manji ni mwizi tena wa akili za wapumbavu wa nchi hii. Namwombea sana John Pombe Joseph Magufuli sijui kama tutampata mwingine baada ya yy kumaliza muda wake. Nani wa kumfananisha na Magufuli kwa wakati huu? tunaishi kwa amani kuliko wakati mwingine wowote!
😂😂😂 We umesoma hata darasa la saba kweli? Wao ndio wanaonufaika na Tanzania zaidi sio sisi watanzania tunaonufaika na waoNdio wanakuweka mjini 80% ya kodi utoka kwao,kaulize Uganda walipowafukuza
Leo manji amekua mwizi? Ama kweli upumbavu ni kipaji.Aende tu mwizi mkubwa
Na Zambia wala hatakwenda,
David kachukue zile nyumba zake ili kulipia hayo madeni walahi
Dah umenikumbusha kuna wahindi flani kipindi cha jk na kipindi hiki ukiwaangalia ni kama mtu yoyote akiwapa msaada wa nauli wanaeza rudi kwao bila kutoa taarifaJPM Oyeee... Maana zamani tulikuwa tukipita na tule tugari twetu tunaitwa Vitz au Nissan March, umechoka kabisa unatoka kazini jioni, basi utakutana na wahindi wanafukuzana na Ma-Rand Cruiser na Ma-Discovery tena matusi na wanakudharau wewe kama uondoe kigari chako barabarani, utafikiri barabara ya kwao.... wacha aeendeee !!
JPM Oyeee... Adabu imerudi sasa hivi
Hivi ni JF kumejaa vilaza au ni watanzania wengi akili hawana? Bandiko la mtoa mada linaonesha Manji anafilisiwa na Bank lakini replies karibu zote zinaongelea kitu tofauti kabisa hahaha kweli watanzania wenzangu mnadata kinyama ule utafiti kwamba kwenye kila watanzania watano watatu ni vichaa naanza kuutazama kwa jicho la huluma
Dah umenikumbusha kuna wahindi flani kipindi cha jk na kipindi hiki ukiwaangalia ni kama mtu yoyote akiwapa msaada wa nauli wanaeza rudi kwao bila kutoa taarifa
Wahindi/wabongo wengi walikua wakifanya biashara zao kihuni
Mbaya zaidi walikua na zarau na kejeli kwa watanzania, hao wahindi walikua wanaona watanzania kama takataka, walikua wanazarau mpaka watumishi wa serikali ila saivi ukiwaona utasema sio wale sababu kama ni number hakika wanaisomaSana tuu Mkuu... sasa hivi wenye akili ndio wanatengeneza pesa, wale wavivu wamebakia kulalamika tu.
😂😂😂 We umesoma hata darasa la saba kweli? Wao ndio wanaonufaika na Tanzania zaidi sio sisi watanzania tunaonufaika na wao
Wametoka India wakuta Tanzania ina rasilimali, soko, nguvu kazi na serikali ovu ya wala rushwa {incase hujui ni kwamba nchi yoyote ya kigeni ambayo wahindi wamefanikiwa sana ujue hiyo serikali ipo corrupted sababu wahindi wanaweza kufanikiwa tu kwenye corrupted government hii ni fact}
Tokea hawa wahindi waletwe na muingereza kujenga reli wamekua wakiibia Tanzania kuanzia wakiwa na mkoloni mpaka leo kama vile muingereza alivyoiibia Tanzania bahati mbaya tu wazungu waliondoka na kuja kivingine lakini hawa wahindi tulibaki nao na Nyerere akawapa uraia kama watanzania wenzetu kwa sharti kwamba watakua wazalendo lakini hakuna chochote walichobadilika.
Kwa hiyo hakuna 80% mali yao, hiyo ni mali ya mtanzania iliyoibwa na hawa wapuuzi ndio maana Id Amin alikua anawatimua
Akili za watu wenye asili ya yale maeneo ambayo yalikuwa kitovu cha biashara ya utumwa utazijua tu ni kama hizi zako. Maana wao kudhalilishwa mwarabu ima mhindi ni sifa. Pengine wakawaomba wake zao wazae na hii jamii ili familia zao ziwe na angalao damu ya mtume.
Mbaya zaidi walikua na zarau na kejeli kwa watanzania, hao wahindi walikua wanaona watanzania kama takataka, walikua wanazarau mpaka watumishi wa serikali ila saivi ukiwaona utasema sio wale sababu kama ni number hakika wanaisoma
Mfanyabiashara anaangalia bottom line yake..iwe Marekani au Tanzania.Wanajamvi kumekuwa na tetesi za chini chini kuwa baada ya kuandamwa na serikali ya awamu ya tano kwa muda mrefu mfanyabiashara Yusufu Manji kuhamia Zambia. Habari kutoka kwa watu wa karibu zaidi na familia ya mfanyabiashara huyo zinasema mpaka sasa makampuni yake matatu yameshafungwa bado yupo katika hatua za mwisho wa kufunga biashara zilizobaki
View attachment 957252