Yussuf Makamba amwinda Reginald Mengi, yeye awataja mafisadi Papa rasmi!

GT,naamini ungekuwa unatumia ID ya ukweli usingekuwa unaandika andika viroja visivyohusiana na hii thread hapa.Lakini kwasababu ni anonymous hujali heshima yako inavyokuwa on the line.

Wakati mwingine ni vyema kuwa na busara na kutohama kwenye mada nakuanzisha personal attacks. Ndoa au mabibi wa Mengi au kutotoa majibu ya UKIMWI hauwezi kubadilisha ukweli wa mambo aliyoyasema.
 
Habari za ndani kabisa kutoka kwa walio karibu na MENGI ni kwamba amepatwa na depression mbaya sana tangu kifo cha mtoto wake Mutie aliyekuwa na UKOSEFU WA KINGA MWILINI au kwa kifupi UKIMWI na madaktari wamemshauri apumzike kwa sasa kwani amekuwa na haphazard memory lapses na imekuwa inaathiri sana decision making yake na hii ndio inapelekea kuwa na ugomvi na kila mtu....Hivi mafisadi Tanzania ni wahindi tuu?

We mtu mzima acha kuandika ujinga!
 
Mod, hamuwezi kutoa onyo kwa watu wanao amua kuvuruga thread makusudi bila sababu za msingi? Game anaboa sana anatka tuache kuwasema mabosi wake wezi wa mali zetu!
 
Tujiulize hivi hawa aliowataja hawajawahi kutajwa ?,je ni wepya masikioni mwa WaTanzania ? ,inaposemwa Mengi hana jipya ieleweke kuwa ,haya majina na aliowataja wameshasikika na kila mtu ,sasa anatumia ngazi za wengine kutaka kujivalisha misifa ,natumai Chadema wanajilabu kuwa wao ndio waliotingisha WaTz kwa kutoa list of shame ya mafisadi hadharani mpaka kushitua vyombo vya usalama wa Taifa.
Mengi angeihoji serikali ya CCM na kuikandia kuwa inawaogopa hao ambao wameshatajwa na inasuasua nao hilo lingekuwa jipya kwa mtu kama yeye kuikandamiza serikali lakini wapi anaimba wimbo uleule unaoimbwa na wananchi wa kawaida na kibaya zaidi anajielemeza upande wa serikali.
 
Game hata uvuruge mada, lazima tule nao sahani moja hao mabosi zako wezi wakubwa!

Duu I miss mwafrika wa kike, she used to call RA a good name he deservr, MKOLONI, MWIZI MWENYE URAIA WA UTATA!

Tumechoshwa na wizi wa mkloloni huyu, kila wizi yumo, yeye hatosheki? This time tule naye sahani moja mpaka kieleweke! Sheria zikipindishwa tutampopoa mawe labda akimbie nchi!
 
Hivi ni kweli Mengi anayo yasema kanuia kwamba anapambana na mafisadi ?Mimi Mengi namuona kama fisadi in a way
 
Kila siku Mzee Salaa anawataja hawa watu sasa sijui jana kashikwa na nini akaamua kurecycle yale yale ya wenzie

Sisi tunamatatizo miaka zaidi ya 40 leo Mengi anatuambia kuwa kukosekana kwa dawa kule Wete tatizo ni Manji et al!

Je na sisi tukisema kuwa Dawa zinazokosekana kule Kibiti sababu ni zile BILIONI 40 alizoiba kule NBC tatizo ni yeye ama?
 
Mengi2.jpg

Lilian Kimaro anakula tuu pesa za walalahoi alizoiba Mengi kule NBC


Hili FISADI Mengi siku yake itafika na walalahoi watapata haki zao
 
kikwete hana jipya. yeye ndiye mlinzi wa hao kina sumaiya, ndo maana anachukua hata pesa kwao kwaajili ya UVC, hivi ni kwanini inakuwa hivyo? jamaa hana macho nini? amechukuliwa akili au vipi. hivi kikwete yuko serious kweli? anatuchosha bwana, tumng'oeni mwakani huyu jamaa. ni walelwaleeeee
 
,Yuko mstari wa mbele kukemea mamabo ya UKIMWI lakini hataki kutuambia kuhusu matokeo ya upimaji wake wa HIV kama JK alivyofanya
Kama una point bora ukae kimya ,Je wewe umepima HIV na kama umepima mbona hujatuambia matokeo yako?
 
Jana mchana nilipomwona pale MOVENPIK nikafikiri labda anakutana na yule misheni town from USA(balaozi wa zamani CHARLES STITH) kumbealikuwa kwenye harakati za kustrategise namna wahariri wake watakavyoandika ripoti leo na naon hawakumwangusha

FISADI ni FISADI tuuu

arudishe pesa za NBC
 
Sijui nimreport vipi huyu GT kwa mods lakini nafikiri akikaa pembeni hata angalau siku mbili,roho yangu itapona.

Hana lolote la maana,badala ya kuanzisha thread yake kuhusu Mengi na kashfa zake kadandia hii thread kwanini???

Mods tafadhali sana msaada kwenye tuta.
 
Yuko mstari wa mbele kukemea mamabo ya UKIMWI lakini hataki kutuambia kuhusu matokeo ya upimaji wake wa HIV kama JK alivyofanya
SIO KAZI YAKO!!!!
 
Jana mchana nilipomwona pale MOVENPIK nikafikiri labda anakutana na yule misheni town from USA(balaozi wa zamani CHARLES STITH) kumbealikuwa kwenye harakati za kustrategise namna wahariri wake watakavyoandika ripoti leo na naon hawakumwangusha

FISADI ni FISADI tuuu

arudishe pesa za NBC

WAZAZI WAKO WALIKOSA MGAO WA NBC NINI??MBONA UNAMSHUPALIA KAMA ANAKUOMBA CHAI NYUMBANI KWAKO
 
GT please hii thread haihusu masuala ya Mengi, inahusu Makamba na Mengi kuwataja mafisadi. Mimi nakushangaa sana maana likitajwa suala la NSSF tu unachanganyikiwa na kuanza kuvuruga mjadala. We still remember how you reacted kwenye ile thread ya vifo Tabora juu ya Mwanakijiji. Hapa sasa umeanza tena kuvuruga mada. Unaposema hao mafisadi walishatajwa na Dr. Slaa kwani kunatatizo na mwingine akitaja? Haya ndo matatizo ya Watanzania we never call hero as hero. Mengi ni shujaa na ataendelea kuwa shujaa na mafisadi watashughulikiwa tu one day. Na hapa JF tunawasema tu kila siku hata kama kunamsiotaka kusikia ufisadi wa Manji NSSF, Rostam dowans, Kagoda na EPA, Patel etc.
 
Mengi kaiba BILIONI 40 za walalahoi lakini hiyo tunaambiwa isisemwe lakini mmesahau kuwa humu watu wanapiga vita UFISADI na cha ajabu Mengi alisahau kuliweka jina lake katyika hao aliowataja
 
Game Theory
Game Theory has no status.
JF Senior Expert Member Join Date: Tue Sep 2006
Posts: 4,950
Thanks: 385
Thanked 1,977 Times in 932 Posts
Rep Power: 13

Credits: 11,768,865,880

Re: Makamba amwinda Mengi, yeye awataja mafisadi rasmi!

--------------------------------------------------------------------------------

Habari za ndani kabisa kutoka kwa walio karibu na MENGI ni kwamba amepatwa na depression mbaya sana tangu kifo cha mtoto wake Mutie aliyekuwa na UKOSEFU WA KINGA MWILINI au kwa kifupi UKIMWI na madaktari wamemshauri apumzike kwa sasa kwani amekuwa na haphazard memory lapses na imekuwa inaathiri sana decision making yake na hii ndio inapelekea kuwa na ugomvi na kila mtu....Hivi mafisadi Tanzania ni wahindi tuu?

ACHA UTOTO HATA WEWE UNAANDIKA UNAWEZ AKUWA NA VVU;MENGI UWEZI FANANISHA NA MABOSI WAKO WANAOKUPA MKATE WA KILA SIKU HAO WAHINDI
MENGI ANATOA MSAADA KILA SEHEMU SI KAMA MABWANA ZENU MPAKE UTOKE JASHO NDIO UNAONA HELA ZAO
 
Back
Top Bottom