Yupo wapi Steven mashishanga?

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
0
Si steven mashishanga(aliyekuwa mkuu wa mkoa wa mwanza baadae mkoa wa Morogoro) tu,kuna Matheo Qures(aliyekuwa mkuu wa mkoa wa mbeya). Je hawa wapendwa ni waliondolewa kwa sababu ya Kikwete kuwa na visasi baada ya kupata urais? Kwa kuwa,wakati wa kugombea urais 2005,mh.Steven Mashishanga alikuwa anamsapoti sana Mh.Sumaye lakini baada ya mkulu wa nchi kuwa rais Mashishanga alipotea kabisa,nauliza je yuko wapi? Je,hii ndio misamaha anayoisema kikwete?
Kama kuna wengine naomba tuwaorodheshe tujue wako wapi na wanafanya nini?
 

kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,559
2,000
Mashishanga analima morogoro,,wakati kikwete anachukua nchi alikua anakimbilia miaka 65 angepewa kazi gani?
Qaresi aliamua mwenyewe kupumzika siasa
 

chankicha

JF-Expert Member
Jan 13, 2016
259
250
Mash yupo Moro ana kigar chake Suzuki escudo kimechoka kweli, analima na keshachoka mno.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom