Yupo wapi Pascal Mayalla baada ya kura za maoni?

wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
3,984
4,131
Wasalam,

Huyu ndugu yetu tangu akutane na spana za wajumbe wa Kawe amekosekana kabisa kutoa mada za maslahi mapana ya taifa.

Tunamuomba arudi humu, asifadhaike sana hayo yameshapita wala asihofu juu ya ukada wake.

Sisi tunajua alikuwa kazini tu.

Ama tujifariji kuwa kobe akiinama.
 
Kwani alikuwa ni mzalendo basi, yeye ni hawa wazalendo academia waliokuja na huu upepo wa mzee wa jogoo hoyee. Uzalendo wake ni wa mdomoni na tumboni wala sio wa moyoni.

Zile mada za kujifanya mzalendo alikuwa anazileta akidhani zitambeba kwenye uchaguzi, toka amepigwa spana hataki uhanithi wa uzalendo tena, maana kaona ni kuchorana tu. Sasa hivi amebaki anatia huruma ili apate uteuzi wa viti maalumu vya rais.

Cc: Paskali Mayalla
 
Kwani alikuwa ni mzalendo basi, yeye ni hawa wazalendo academia waliokuja na huu upepo wa mzee wa jogoo hoyee. Uzalendo wake ni wa mdomoni na tumboni wala sio wa moyoni. Zile mada za kujifanya mzalendo alikuwa anazileta akidhani zitambeba kwenye uchaguzi, toka amepigwa spana hataki uhanithi wa uzalendo tena, maana kaona ni kuchorana tu. Sasa hivi amebaki anatia huruma ili apate uteuzi wa viti maalumu vya rais.

Cc: Paskali Mayalla
 
Attachments

  • IMG-20200808-WA0000.jpg
    IMG-20200808-WA0000.jpg
    51.5 KB · Views: 1
Kwani alikuwa ni mzalendo basi, yeye ni hawa wazalendo academia waliokuja na huu upepo wa mzee wa jogoo hoyee. Uzalendo wake ni wa mdomoni na tumboni wala sio wa moyoni. Zile mada za kujifanya mzalendo alikuwa anazileta akidhani zitambeba kwenye uchaguzi, toka amepigwa spana hataki uhanithi wa uzalendo tena, maana kaona ni kuchorana tu. Sasa hivi amebaki anatia huruma ili apate uteuzi wa viti maalumu vya rais.

Cc: Paskali Mayalla
 
Attachments

  • VID-20200807-WA0007.mp4
    2.1 MB
Back
Top Bottom