Yupo Wapi JULLY TAXI yule wa saladin

Kaka hapo ndo changamoto ilipo ..WATU wenye vipawa hawatumiwi Nimeirudia movie yake ya Saladin Leo kiukweli Content yake bado i hai mpk sasa uwezo mkubwa sana sijui kwanin tunasahau mchango wa hawa lengendary !
 
Anaitwa july, yupo mwanza, kuna wakat alikua anaimba mziki ila halishindwa naona kaamua kutulia ila alikua balaa sana kwenye movie za kutisha, sijui kwa nn bongo movie hawamtumii na anasema alikua anatumia mazingaombwe/uchawi kwenye movies zake na sio effects
Kweli yani alijitahidi sana. Movie kama saladini ilikua na effect nzuri sana.
 
Movie zake ambazo yeye ndo kaziongoza kuna
Saladini
Mtemi
Chozi < kama sijakosea saladini pia alicheza humo kama mama alizaa mtoto akamwacha msituni

Japokua movie zake zilikua za kishamba shamba ila Jamaa alikua moto wa kuotea mbali , sio mru wa kupuuzwa
 
.
Screenshot_20201024-125440_GBInsta.jpg
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom