Yupo wapi Isidore Shirima, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma?

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Mmeamkaje (mlio wengi) hapa JF. Mm sijaamka bado. Bado napambana kitandani.

Najiuliza tu, huyu Isidori Shirima Yuki wapi? Anaumwa au kastaafu maisha? Yuko Tanzania kweli.

Ikumbukwe, Bwan shirima aliwahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dodoma mika iliyopita na akawa machachari sana.

Ni rafiki yake sana na Hamisi Mgeja, John Guninita,Alikado Ntagazwa pamoja na Ibrahim Msabaha.

Mwenye taarifa zaidi wakuu..
 
Alistaafu kipindi cha JK, anaishi Dar, wiki 3 hivi zilizopita nilimuona Airport Dar nikiwa tunaelekea Kupanda Bombardier ya Mwanza, ila sikujua yeye alikwea ndege IPI zaidi.
 
Mmeamkaje (mlio wengi) hapa JF. Mm sijaamka bado. Bado napambana kitandani.

Najiuliza tu, huyu Isidori Shirima Yuki wapi? Anaumwa au kastaafu maisha? Yuko Tanzania kweli.

Ikumbukwe, Bwan shirima aliwahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dodoma mika iliyopita na akawa machachari sana.

Ni rafiki yake sana na Hamisi Mgeja, John Guninita,Alikado Ntagazwa pamoja na Ibrahim Msabaha.

Mwenye taarifa zaidi wakuu..
RIP Shrima
 
Back
Top Bottom