reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 11,892
- 27,903
Daaah!huzuni sanaAmezeeka saivi. Namwonaga pale grand nolasko anafanya shoo mpaka za bia nne. Roho inaniumaga sana
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Daaah!huzuni sanaAmezeeka saivi. Namwonaga pale grand nolasko anafanya shoo mpaka za bia nne. Roho inaniumaga sana
Waliendekeza starehe hawakuwekeza wachache waliwekeza kidogo afadhaliWasanii wengi sana wa kipindi cha 2000 hadi 2010 wanatia huruma sana tena sana!
1. Kwenye kundi la wanaume family wengi wao ni choka mbaya,mateja na wengine watapeli
2. TMK family nao ni choka mbaya!
3. Gangwe Mob, Inspector Haruni hua anapiga show hadi ya beer mbili! Mwenzake Luteni Kalama sijui yuko wapi!
4. HB sijui wako wapi, Jay kidogo ndiyo yupo lakini Fanani alikua Teja balaa!
5. University Corner wako wapi
6. Manzese Crew wako wapi
7. Tip Top wako wapi
8. East Coast timu wako wapi
9. BWV wako wapi
10. East zoo wako wapi
11. Zay B
12. Sister P
13. B band wako wapi
14. Matonya yuko wapi
15. Jose Mtambo
16. Dan Msimamo
17. Daz Dundaz wako wapi
Wasanii ni wengi sana wamepotea kutokana na madawa au umri umewaacha!
Wachache sana bado wapo kwenye hit
Bad Man na kitu gani aisee jamaa alikuwa moto
Inaitwa ingewezekana, yupo ray c & squeezer humo ndaniKuna ngoma yake Ile kaimba na ray c ..Dah jamaa anajua asee
Ukweli wasanii ambao ilibidi wanufaike sana na kazi zao ni kizazi cha 1996s sogea sogea mpaka 2008s ila huzuni hawa ndiyo wamejikuta ktk wakati mgumu kuliko.
Siku hizi wanachoimba hawa wabana pua hata siwaelewagi nina miezi sijasikiliza radio kutokana na hakuna cha kusikiliza.
Ni hatari sana huyo mtu.Flow yake D-knob huwa ni ya kipekee sana. Bad Man.
-Kaveli-
Bora tumeachana yuko na Tonya timenamkubali sana,anadai demu wake haku enjoy alimpomkwea so ikabidi waachane, hiyo ngoma sikumbuki inaitwaje
the guy is in deed talented
Kaokoka siku hiziHuhaa!!!daah mwamba ni mkali sana nikiwa gheto la masela na winn forest ya zamani, hahaaa enzi za mbya benki kuu kwa sana kuchukua noti mpya mpya. Maisha matamu sana D Knob what a talent that has gone missing.
#Kaveli pokea dude lingine hilo"Nini ujanja duniani zaidi ya kusoma.
Ufikapo Roma fanya kama wafanyavyo warumi..." Ole wako useme rap uhuni.
What's up Zavara. Live long chief Rhymson.
-Kaveli-
Na D Knob anakuambia anamkubali Sana Jos MtamboFlow ya D knob, na flow ya Jose Mtambo, huwezi kuiga!
Kweli!?Kaokoka siku hizi
Yupo Tongwa RecordsJose Mtambo yupo wapi siku hizi?
Jina lake limekaa kibabe sana.
Watoto waliozaliwa miaka ya 2000 hawawezi kuelewa hiliJose Mtambo kipaji kile,Darasa Huru ni moja ya ngoma zake bora za muda wote
Jos Mtambo anakuuliza;Jose Mtambo yupo wapi siku hizi?
Jina lake limekaa kibabe sana.
Enzi zile Forest ya zamani Kuna kijiwe kinaitwa MamaLand...aiseee ilikuwa noma Sana, ukisikia tu huuuuuuaaaaaa!!!!aiiiiiiih... Machizi wangu wa Mbeya Sec walikuwa wanamkubli Sana MwambaHuhaa!!!daah mwamba ni mkali sana nikiwa gheto la masela na winn forest ya zamani, hahaaa enzi za mbya benki kuu kwa sana kuchukua noti mpya mpya. Maisha matamu sana D Knob what a talent that has gone missing.
Jose Mtambo toka Kigambo..ninoJose Mtambo yupo wapi siku hizi?
Jina lake limekaa kibabe sana.