Yupo wapi Innocent Sahani maarufu kama D Knob?

Wasanii wengi sana wa kipindi cha 2000 hadi 2010 wanatia huruma sana tena sana!
1. Kwenye kundi la wanaume family wengi wao ni choka mbaya,mateja na wengine watapeli

2. TMK family nao ni choka mbaya!

3. Gangwe Mob, Inspector Haruni hua anapiga show hadi ya beer mbili! Mwenzake Luteni Kalama sijui yuko wapi!

4. HB sijui wako wapi, Jay kidogo ndiyo yupo lakini Fanani alikua Teja balaa!

5. University Corner wako wapi
6. Manzese Crew wako wapi
7. Tip Top wako wapi
8. East Coast timu wako wapi
9. BWV wako wapi
10. East zoo wako wapi
11. Zay B
12. Sister P
13. B band wako wapi
14. Matonya yuko wapi
15. Jose Mtambo
16. Dan Msimamo
17. Daz Dundaz wako wapi
Wasanii ni wengi sana wamepotea kutokana na madawa au umri umewaacha!

Wachache sana bado wapo kwenye hit
Waliendekeza starehe hawakuwekeza wachache waliwekeza kidogo afadhali

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
"Ndinga... tukicruise town, ni mshiko juu ya dashboard traffic kuwacool down.."

Nishike Mkono. What's up Mr Sahani.

-Kaveli-
 
Ukweli wasanii ambao ilibidi wanufaike sana na kazi zao ni kizazi cha 1996s sogea sogea mpaka 2008s ila huzuni hawa ndiyo wamejikuta ktk wakati mgumu kuliko.

Siku hizi wanachoimba hawa wabana pua hata siwaelewagi nina miezi sijasikiliza radio kutokana na hakuna cha kusikiliza.
 

Attachments

  • kwanza_unit_msafiri_audio_aac_30229.m4a
    3.8 MB · Views: 3
"Nini ujanja duniani zaidi ya kusoma.
Ufikapo Roma fanya kama wafanyavyo warumi..." Ole wako useme rap uhuni.

What's up Zavara. Live long chief Rhymson.

-Kaveli-
#Kaveli pokea dude lingine hilo
 

Attachments

  • KWANZA UNIT Check Navyo Flow.mp3
    9.3 MB
Huhaa!!!daah mwamba ni mkali sana nikiwa gheto la masela na winn forest ya zamani, hahaaa enzi za mbya benki kuu kwa sana kuchukua noti mpya mpya. Maisha matamu sana D Knob what a talent that has gone missing.
Enzi zile Forest ya zamani Kuna kijiwe kinaitwa MamaLand...aiseee ilikuwa noma Sana, ukisikia tu huuuuuuaaaaaa!!!!aiiiiiiih... Machizi wangu wa Mbeya Sec walikuwa wanamkubli Sana Mwamba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom