Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,031
- 8,163
Duuu Mwamba anajua Sana niliikubali Ile aliyopiga na Mwasiti inaitwa nishike mkono ,
daaaa huyu jamaa alikua shida Aisee!
daaaa huyu jamaa alikua shida Aisee!
Anakunywa JoseSiku hizi si kuna double kick au K-Vant? bado kuna mtu smart anakunywa gongo?
Inaitwa bora tumeachana hapo chorus kagonga matonyanamkubali sana,anadai demu wake haku enjoy alimpomkwea so ikabidi waachane, hiyo ngoma sikumbuki inaitwaje
the guy is in deed talented
Huu uzi umenisikitisha sana sijui kwanini.
Kweli zama zinakimbia
Ukweli wasanii ambao ilibidi wanufaike sana na kazi zao ni kizazi cha 1996s sogea sogea mpaka 2008s ila huzuni hawa ndiyo wamejikuta ktk wakati mgumu kuliko.Wasanii wengi sana wa kipindi cha 2000 hadi 2010 wanatia huruma sana tena sana!
1. Kwenye kundi la wanaume family wengi wao ni choka mbaya,mateja na wengine watapeli
2. TMK family nao ni choka mbaya!
3. Gangwe Mob, Inspector Haruni hua anapiga show hadi ya beer mbili! Mwenzake Luteni Kalama sijui yuko wapi!
4. HB sijui wako wapi, Jay kidogo ndiyo yupo lakini Fanani alikua Teja balaa!
5. University Corner wako wapi
6. Manzese Crew wako wapi
7. Tip Top wako wapi
8. East Coast timu wako wapi
9. BWV wako wapi
10. East zoo wako wapi
11. Zay B
12. Sister P
13. B band wako wapi
14. Matonya yuko wapi
15. Jose Mtambo
16. Dan Msimamo
17. Daz Dundaz wako wapi
Wasanii ni wengi sana wamepotea kutokana na madawa au umri umewaacha!
Wachache sana bado wapo kwenye hit
Naupenda sana huu wimbo hatari.Elimu mitaani.com nimeisikiliza hata leo. Ninayo hii ngoma
Duuu Mwamba anajua Sana niliikubali Ile aliyopiga na Mwasiti inaitwa nishike mkono ,
daaaa huyu jamaa alikua shida Aisee!
Ndo hivyo inaumiza na kuhuzunisha.Kigambo anakula Gongo tu
Mtàani na maskani ndio ngumi zenyewe!"Nasonga ki stimu na ndoto kede"
Uaaaaa!
Zama zimeenda balaaa