Yupo wapi huyu mtoto wa Idd Amini?

Hata Mimi niliiona articles Fulani kumhusu huyo dogo wa zamani ni kwamba kutokana na tabia ya babu Amin kusikiliza sana waganga na tawire kama zote kuna mganga akamtabiria kua Luna mwanae atakuja kumpindua na kumuua Ili atawale yeye hapo ndipo akaamua ammalize nakumbuka hivyo
mitandaoni wameandika uongo tu.idd amin na ma dikteta wote wakubwa mfano hitler walikuwa wapole sana wakiwa nyumbani. kasoro joseph stalin tu ndio alikuwa kauzu kwa wanae
 
Back
Top Bottom