YUPO wapi Dotto Bulendu?

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
10,526
13,013
wana bodi.
Naomba kujuzwa alipo huyu Gwiji la habar bwana Dotto Bulendu. alikuwa anaendesha kipindi kikienda kwa jina la "JICHO LETU NDANI YA HABARI" Ghafla kipindi kile kikafyekwa nadhan mwanzoni kabisa mwa msimu huu wenye kimbunga na mawimbi mengi kwenye tasnia ya habar..
Naomba kujua alipo bwana Bulendu.
 
Huwa anaripoti kwa redio moja nadhani ni DW.
The guy is smart in his profession.
Sahara media haitaki watu makini kama hawa, kipindi chake kilikuwa na viwers wengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom