Yupo wapi Adamu Mubago wa 5 celebity ya channel 5?

Rockcity native

JF-Expert Member
Dec 31, 2012
2,167
1,403
Huyu jamaa alikua bonge la mtangazaji wa kipindi cha mahojiano ya wasanii wa bongo fleva enzi hizo chanel 5 inaanza kurusha matangazo yake baada ya kubadili jina toka ITV 2.

Kwa anaejua jamaa yupo wapi sahivi akitangaza atujuze.
 
euoxUdCb.jpeg

Je yule dada wa 5 Grooves aliye act na tid kwenye siamini yupo wapi?
 
Vipindi vya Channel 5

1. Holla

2. Back 2 Back -hapa alikuwepo TK na Ben

3. 5 Grooves

4. Top 10

5. 101
 
Vipindi vya Channel 5
1.Holla
2.Back 2 Back -hapa alikuwepo TK na Ben
3. 5 Grooves
4.Top 10
5.101

2. Back 2 back - Saa kumi na moja jionj, alikuwa TK na Abba one ( sijui kapotelea wapi sikuiz)

6. Afrobeat - Ben na Maimartha saa kumi jioni.
 
Huyu jamaa alikua bonge la mtangazaji wa kipindi cha mahojiano ya wasanii wa bongo fleva enzi hizo chanel 5 inaanza kurusha matangazo yake baada ya kubadili jina toka ITV 2.

Kwa anaejua jamaa yupo wapi sahivi akitangaza atujuze.

huyu mchizi yupo kinondoni manyanya amepanga next to full stop bar!alivyoacha kutangaza alienda U.K amerudi bongo yupo na manzi mmoja anaishi nae sina uhakika kama amemuoa!...kibongobongo mchizi anaishi maisha poa!.....kwa wanafunzi wa mary mary ukimkumbuka adamu mubago basi utamkumbuka na Garnet Mkurasi Kaijage
 
Mukiiiiiiiiii!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom