Yupo atakayenifaa humu?

al-baajun

JF-Expert Member
Sep 11, 2015
278
203
Habari zenu
Ni kijana wa miaka 24 anamtafuta that one lady,my queen,la'azizi kitulizo cha moyo wangu.baada ya kukaa mda mrefu bila mahusiano yoyote kutokana na maswahibu mbalimbali ya kimaisha,hatimaye leo hii nimekuja kwenu humu kwenye hili jukwaa mahususi kujaribu kumtafute yulee.

KUHUSU MIMI
umri:24
Elimu:form 6 and niliacha chuo mwaka juzi(si kwa kupenda)

Kazi:ni fundi(kipato cha kawaida)

Sifa nyingine:sina gubu wala sipendi kujikera wala kukera mtu,mchapakazi,mkweli,mcheshi na muaminifu.

Muonekano:i look good

Kwanini natafuta mpenzi sasa iv?
Sababu maisha ya usingo mazuri ila upweke unakua hauchezi mbali na wewe,sometime unatafuta hata mtu kukuhug tight na kukupa moyo alafu unakosa.

Sifa za huyoo nimtafutaye
Awe na elimu form 4 na zaidi
Asiwe mtu wa tamaa,kuiga iga,tabia za kihuni huni na kishamba.
Awe muelewa na mwenye maono mapana.
Akiwa na kazi fresh asipokua na kazi pia poa.
Asiwe mnene.
Nipm.

Maasalam
 
Unaposema asiwe mnene ina maana akina Miss natafuta wamekukosea nini jamani?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom