Yupi yuko sahihi Waziri wa Afya au Rais juu ya madai ya madaktari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yupi yuko sahihi Waziri wa Afya au Rais juu ya madai ya madaktari?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Jul 1, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nimesoma hotuba ya rais Jk na nimekumbuka hotuba ya waziri wa Afya bwana Mwinyi nimekuja na uchambuzi ufuatao juu ya madai ya madaktari.

  Waziri mwinyi alidai madaktari wana madai 10 kati ya hayo 5 wameshatekelezewa

  Rais leo amedai madai 12 na kati ya hayo 7 wametekeleza

  Nauliza yupi yuko sahihi au kuna serikali mbili tofauti ndani ya CCM kama leo hii Mwinyi yuko Zanzibar Jk yuko Rwanda
   
 2. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Ndio watanzania tutajua kama kuna uongozi au ni business as usual. Nchi in a migomo ZNZ kasheshe watawala bize kutafuta per diem!
   
Loading...