me SHANGAZI kwa kufanikiwa kumtia musiba hatianimimi naanza na peter kibatala huyu kwangu ni wakili bora kwa muda huu kulingana na mambo anayofanya wengine tiririkeni
Si utaje tu wa kwako ?!.Vijana hawa wa CHADEMA wanashangaza sana! Wao Wakili akishakuwa upande wa CHADEMA au kusimamia kesi za CHADEMA au viongozi wao basi tayari hao ndo mawakili bora!
Kuna Mawakili bora sana hapa Nchini na wanafanya kazi nzuri sana ila hawana kelele , mihemuko wala ushabiki wa kisiasa!
Vijana wa CHADEMA panueni vichwa vyenu kwani upeo wenu ni finyu sana!
Kibatala hasaidii chadema tu nanwala hapigi kelele ila chadema ndiyo wanapigiaga kelele kesi zao..mfano kibatala alimsaidia lulu kipindi anakabiliwa na kesi ya kuua..kibatala amesaidia kesi ya mirath ya famili ya rafiki yangu kibatala amesaidia kesi za wabunge wa cur kipindi kile na mpaka leo hiyo kesi bado ipo mahakaman..kibatala ana kesi nyingi sana na nyingi huwa anashinda...unsikia zaid akiwa kwenye za chadema kwasabu chademanni watu wa keleleVijana hawa wa CHADEMA wanashangaza sana! Wao Wakili akishakuwa upande wa CHADEMA au kusimamia kesi za CHADEMA au viongozi wao basi tayari hao ndo mawakili bora!
Kuna Mawakili bora sana hapa Nchini na wanafanya kazi nzuri sana ila hawana kelele , mihemuko wala ushabiki wa kisiasa!
Vijana wa CHADEMA panueni vichwa vyenu kwani upeo wenu ni finyu sana!
Abdala chavula,na Tumaini Kweka, etc
Aisee hio hatari,, kumbe aliua kweli sasa alitumia mbinu gani kushawishi mahakama kama hana hatia au kuua bila kukusudia?abdallah possi..huyu jamaa alifanikiwa kumtoa hatiani ndugu yangu ambae alikuwa ametiwa hatiani kwa kosa la kuua kwa kukusudia...huyo ndugu yangu alimchoma kisu hadi utumbo ukamwagika mwanamke mmoja ambae alikuwa ni mpenzi wake....
ndugu yangu huyo alihukumiwa kunyongwa hadi kifo...kesi yake hadi hukumu ilinguruma tokea nikiwa dalasa la nne hadi namaliza kidato cha nne... mwaka huo nilio maliza kidato cha nne ndipo bwana Possi alipoishika hiyo kesi ambayo ilishatolewa hukumu wakakata rufaa...wakashinda
jamaa alitolewa ila damu ya mtu bwana ni nzito amekuwa kama amechanyikiwa hivi....hadi muda mwininge tuna tamani bora angebaki gerezani tu...!
ABDALLAH SALEH POSSI popote ulipo Mungu akupe maisha marefu kiongozi wangu
Kama aliua kweli alistahili kukaa gerezan labda km anajutia nafsi yake na kumuomba msamaha muumba pamoja na marehemabdallah possi..huyu jamaa alifanikiwa kumtoa hatiani ndugu yangu ambae alikuwa ametiwa hatiani kwa kosa la kuua kwa kukusudia...huyo ndugu yangu alimchoma kisu hadi utumbo ukamwagika mwanamke mmoja ambae alikuwa ni mpenzi wake....
ndugu yangu huyo alihukumiwa kunyongwa hadi kifo...kesi yake hadi hukumu ilinguruma tokea nikiwa dalasa la nne hadi namaliza kidato cha nne... mwaka huo nilio maliza kidato cha nne ndipo bwana Possi alipoishika hiyo kesi ambayo ilishatolewa hukumu wakakata rufaa...wakashinda
jamaa alitolewa ila damu ya mtu bwana ni nzito amekuwa kama amechanyikiwa hivi....hadi muda mwininge tuna tamani bora angebaki gerezani tu...!
ABDALLAH SALEH POSSI popote ulipo Mungu akupe maisha marefu kiongozi wangu
kinacho mtia mtu hatiani ni udhaifu wake wakati wa kujitetea....inaaminika kuwa unaweza ukatenda kosa lakini pia anae kushitaki akiwa dhaifu kuishawishi mahakama mshitaki anaweza akakosa haki yake....na wewe mshitakiwa ukaonekana huna hatia kabisaAisee hio hatari,, kumbe aliua kweli sasa alitumia mbinu gani kushawishi mahakama kama hana hatia au kuua bila kukusudia?
Ngoja awauwe miongoni mwenu halafu uje utueleze abdallah possi alivyofanikiwa kumtoa tena.abdallah possi..huyu jamaa alifanikiwa kumtoa hatiani ndugu yangu ambae alikuwa ametiwa hatiani kwa kosa la kuua kwa kukusudia...huyo ndugu yangu alimchoma kisu hadi utumbo ukamwagika mwanamke mmoja ambae alikuwa ni mpenzi wake....