Elections 2015 Yupi ni Ripota Bora wa Habari za Uchaguzi (Kampeni)??

nimefatilia kwa umakini, nikagundua kuna maripota wanastahili heshima kwenye kazi zao. Hawababaishi, wanaripoti habari na matukio ya kampeni kama yanavyotokea bila upendeleo au kuzidisha chumvi hasa wakati huu tukielekea oktoba 25.

Naomba nitambue mchango wa spencer lameck wa itv. Dogo yuko vizuri sana, anaripoti kile kinachotokea bila kupindisha ukweli. Kwangu mimi ndio ripota bora kabisa.

naunga mkono hoja
 
Jamani yuko Mdada mmoja wa Chanel ten anazunguka na lowasa yuko vizuri sana akifuatiwa na Spencer
 
Mchumia tumbo tu huyo, fisadi kuiona ikulu ni ndoto ni kama mzinzi kuona ufalme wa Mungu, mtampambaa lkn muda utasema ukweli.

taja wako unayemkubali using'ang'anie kuponda chaguo la mwingine

Spencer Lameck ndo bora kwa sasa i wish ccm tungekuwa naye tungekuwa na kazi ndogo sana iliyobaki
 
Back
Top Bottom