Elections 2015 Yupi ni Ripota Bora wa Habari za Uchaguzi (Kampeni)??

Mchumia tumbo tu huyo, fisadi kuiona ikulu ni ndoto ni kama mzinzi kuona ufalme wa Mungu, mtampambaa lkn muda utasema ukweli.

Lumumba kwa kukariri ndio maana mnaishi kama mazombi, kwa iyo kwa Mungu dhambi pekee ni uzinzi
 
okwobobansunzu Lameck namkubali tangu akiwa Mlimani TV, niliguandua talent yake na atasonga mbali sana.
 
Last edited by a moderator:
Spencer, Yes! Bila kumsahau yule dada white wa Channel 10 anayezunguka na Lowasa. Staili yake iko poa & anaweka mbwembwe fulani hivi zinaleta hamasa. Jina simkumbuki!
 
Spencer, Yes! Bila kumsahau yule dada white wa Channel 10 anayezunguka na Lowasa. Staili yake iko poa & anaweka mbwembwe fulani hivi zinaleta hamasa. Jina simkumbuki!

siyo huyu wanayesema jamila omar kweli maana sikumbuki hata mara ya mwisho kuangalia taarifa ya habari nje ya itv ni lini
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom