Elections 2015 Yupi ni Ripota Bora wa Habari za Uchaguzi (Kampeni)??

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,782
66,955
Nimefatilia kwa umakini, nikagundua kuna maripota wanastahili heshima kwenye kazi zao. Hawababaishi, wanaripoti habari na matukio ya kampeni kama yanavyotokea bila upendeleo au kuzidisha chumvi hasa wakati huu tukielekea Oktoba 25.

Naomba nitambue mchango wa Spencer Lameck wa ITV. Dogo yuko vizuri sana, anaripoti kile kinachotokea bila kupindisha ukweli. Kwangu mimi ndio ripota bora kabisa.
 
Yes, kwa habari na matukio ya ukweli ya kampeni kombe linaenda kwa Lameck
 
Huyu Spencer Lameck anawauma sana CCM. Asante baba mwenye nyumba kwa kutuchagulia kijana machachari
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom