Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,783
- 66,962
Nimefatilia kwa umakini, nikagundua kuna maripota wanastahili heshima kwenye kazi zao. Hawababaishi, wanaripoti habari na matukio ya kampeni kama yanavyotokea bila upendeleo au kuzidisha chumvi hasa wakati huu tukielekea Oktoba 25.
Naomba nitambue mchango wa Spencer Lameck wa ITV. Dogo yuko vizuri sana, anaripoti kile kinachotokea bila kupindisha ukweli. Kwangu mimi ndio ripota bora kabisa.
Naomba nitambue mchango wa Spencer Lameck wa ITV. Dogo yuko vizuri sana, anaripoti kile kinachotokea bila kupindisha ukweli. Kwangu mimi ndio ripota bora kabisa.