Yupi ni Ripota Bora wa Habari za Uchaguzi (Kampeni)??

Mussolin5

Mussolin5

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Messages
18,058
Points
2,000
Mussolin5

Mussolin5

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2015
18,058 2,000
Nimefatilia kwa umakini, nikagundua kuna maripota wanastahili heshima kwenye kazi zao. Hawababaishi, wanaripoti habari na matukio ya kampeni kama yanavyotokea bila upendeleo au kuzidisha chumvi hasa wakati huu tukielekea Oktoba 25.

Naomba nitambue mchango wa Spencer Lameck wa ITV. Dogo yuko vizuri sana, anaripoti kile kinachotokea bila kupindisha ukweli. Kwangu mimi ndio ripota bora kabisa.
 
A

aiai654

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
3,860
Points
1,170
A

aiai654

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
3,860 1,170
Yes, kwa habari na matukio ya ukweli ya kampeni kombe linaenda kwa Lameck
 
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Messages
8,183
Points
1,250
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2010
8,183 1,250
Spancer Lameck wa ITV hana mpinzani.
 
K

kauleni

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2009
Messages
352
Points
195
K

kauleni

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2009
352 195
Spencer Lameck, hachakachuwi
 
Z

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Messages
4,917
Points
2,000
Z

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2013
4,917 2,000
SPENCER LAMECK yupo vizuri sana.
 
IRINGA MOJA

IRINGA MOJA

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2014
Messages
503
Points
250
IRINGA MOJA

IRINGA MOJA

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2014
503 250
Huyu Spencer Lameck anawauma sana CCM. Asante baba mwenye nyumba kwa kutuchagulia kijana machachari
 
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
26,693
Points
2,000
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
26,693 2,000
Spencer anatisha
 
Mbaga Michael

Mbaga Michael

Verified Member
Joined
Nov 17, 2011
Messages
2,917
Points
1,250
Mbaga Michael

Mbaga Michael

Verified Member
Joined Nov 17, 2011
2,917 1,250
Spencer Lameck nambari wani
 
kwamtoro

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Messages
4,872
Points
2,000
kwamtoro

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2010
4,872 2,000
Buholela siyo mtangazaji, ni kada wa ccm.

Anaturushia picha fake za mafuriko kumbe mkutano watu hata nusu uwanja wa mpira awajafika
 

Forum statistics

Threads 1,304,902
Members 501,583
Posts 31,531,222
Top